Search results

  1. A

    Kigwangalla apinga Spika kuleta madaktari wa India Apollo, apingwa na wenzake!

    Tatizo siyo makinda ila tatizo ni mfumo wa bunge kujipangia budget yao mwenyewe sasa budget ni kubwa watazitumiaje hizo pesa? Kingwangara nakuunga mkono usiishie hapo pinga na mfumo wa bunge lenu kujipangia budget ili uokoe hii nchi na uachane na hao wanaofikiria matumbo yao na familia zao.
  2. A

    Kigwangalla apinga Spika kuleta madaktari wa India Apollo, apingwa na wenzake!

    Tatizo siyo makinda ila tatizo ni mfumo wa bunge kujipangia budget yao mwenyewe sasa budget ni kubwa watazitumiaje hizo pesa? Kingwangara nakuunga mkono usiishie hapo pinga na mfumo wa bunge lenu kujipangia budget ili uokoe hii nchi na uachane na hao wanaofikiria matumbo yao na familia zao.
  3. A

    Video Clip: Alichokisema Mhe. Joshua Nassari huko Kigoma

    Sasa mie nimeshidwa kuwaelewa wana jf zitto alikanusha kuhusu gazeti la mwananchi lililo muhusisha na matamushi ya wabunge kuhusu yeye kujipigia kampeni kwa kutumia baadhi ya wabunge na kaweka ushahidi huu ambao gazeti lilidai kuwa nassari alizungumza kuhusu zitto Sasa nyie munazidi kukandamiza...
  4. A

    Nape, Mawaziri kufunika Kigoma

    Huyo muongo sanaa mie nipo kigoma wamesha anza kukusanya watu kwa magari matangazo mengi wanatupigia fujo tu Wanataka kumulipa zitto kwa tamasha alilolifanya la leka tutigite hawawezi Wamekodi bodaboda zote lakini watu hat a hawawajali
  5. A

    Mwakyembe apanda treni kwenda Bungeni Dodoma

    Je mwkyembe alipanda tren la mizigo? Kila mtu ana haki sawa katika nchi hii kutokana na katiba yetu. Je tren ya abiria kila mtu akipanda aende cloud fm kusema kuwa amepanda tren? Achane kuona wana siasa ni mungu watu
  6. A

    Mwakyembe apanda treni kwenda Bungeni Dodoma

    mwingine ni prof kapuya kwa hiyo mwakiembe siyo wa kwanza ila kipindi hicho media zilikuwa sio kama sasa mwakiembe sasa hivi anacheza na media tu kwani siyo haki yake kupanda tren? Je shangingi lake lilibaki dar?
  7. A

    Bernard Membe: TZ Bado Inaiunga Mkono West Sahara

    Na wao waiache zanzibar ijitawale ama kweli nyani haoni kundule
  8. A

    Tanzania Daima lamshambulia Zitto?

    nape wa nini nchi hii haiongozwi kwa uongo wake
  9. A

    FikraPevu: Waziri Chami ajibu mapigo sakata la TBS Bungeni

    Huyo muongo na maana anachukiwa na ofisi ya spika pamoja na kamati. Kutopata hizo nyaraka ni sababu tosha ya kujiuzuru kwani hajui kazi.anataka tuamini kuwa ofisi yao inachukiwa na CAG? Harafu hizi bodi zote ni za kizushi sinateuliwa ki siri mno sifa wala hazijulikani. Maoni yangu yeye apishe...
  10. A

    Kumbe hata baadhi ya Wabunge wa Upinzani wanapokea Rushwa!

    Safi hiyo ndiyo dawa ya kumaliza rushwa kipindi unatoa ulikuwa kimya sasa umekosa ushindi sasa mambo hazarani na hiyo ndiyo dawa ya kumaliza rushwa ukileta pesa watu wanakula kisha wanakutosa kama walivyofanya kwako awamu nyingine utaamini kwenye uwezo wako na wala siyo pesa nawapongeza...
  11. A

    Kumbe hata baadhi ya Wabunge wa Upinzani wanapokea Rushwa!

    kwanza nimependa hiyo safi sana mkileta rushwa watu wanakula kisha kura kwa mtu wa ukweli na hiyo ndiyo dawa ya kumaliza rushwa ndani na nje ya ccm maana nyie munaona rushwa kama ndiyo ushindi. Umetoa rushwa halafu wamekupiga chini safi sana upinzani malizeni hiyo rushwa kwa njia hiyo munakula...
  12. A

    Inasemekana kuna wabunge 38 tu mjengoni jioni hii

    Hiyo yote inaonesha kuwa tanzania hii tunatakiwa tuwe na wabunge wasiozidi 50 tu.kwani hakuna kazi wanayoenda kufanya wakiwemo ndani ya bunge wanachapa usingizi katiba mpya jamaani majimbo yasizidi 50.viti maalumu hapana viti maalamu vya raisi hapana pia.
  13. A

    Prof. Baregu aeleza kwanini hakutumia Biblia kuapa

    haujamuelewa prof
  14. A

    Picha nyingine zinajieleza

    taja sababu kwani huyo wakulia ni mbunge wangu
  15. A

    Mashindano ya urembo yazidi kupamba moto tanzania - sasa kuna miss totoz!

    Huyo atakuwa mbunge wa ccm wa viti maalum maana hatambui hata haki za watoto na hicho cheo alipewa na mabwana zake nasema kila siku viti maalumu wafutea maana vitakuja kutuletea wendawazimu ndani ya bunge haya yameanza kujitokeza
  16. A

    CCM inamshawishi Mwl Christopher Mwakasege achukue fomu Arusha mjini!

    ana pesa ccm pesa kwenda mbele mungu baadae ajenge heshima hata wananchi wakulilie ccm bila pesa wanakutosa tu
  17. A

    Chadema nao wakishindwa wakubali bila kulalamika

    ugunga hawakulinda kura zao kama arumeru kwa hiyo inaonesha kabisa ccm waliiba maeneo ya vijijini kwani sasa hivi maeneo ya vijijini hawaipendi ccm kwa sababu ya maisha magumu kwao
  18. A

    Kura za maoni CCM EAC

    du mkuu nimeipenda hiyo ccm wanafiki
  19. A

    JF ninaomba sala zenu leo ni kura za maoni!

    muambie mama yako mdogo akusaidie sie hatuna uwezo wakukusaidia na dua zetu god hazipokea kwa sababu ya rafu zenu ndani ya chama yaani hakuna haki kwenu ni pesa kwenda mbele na God hayuko huko kabisa
  20. A

    Kura za maoni CCM EAC

    unaleta mambo kama ya arumeru mashariki,wananchi wakapaona na sasa kwa vile mubaki wenyewe kigezo huyu kijana mdogo ni mtoto wa nani ;mtoto wa malecela na kilango haya mpe kama hajulikani mnasema hawezi siasa sasa katiba mpya tunataka wananchi tuchague wenyewe
Back
Top Bottom