Ni kweli ajira nyingi zinategemea na chuo ulichosomea, mfano waliosoma vyuo Kama MUHAS, UDOM na UDSM wanaajiriwa sana kuliko waliosomea vyuo vya kawaida kama Kampala University n.k
Samahani,Kuna watu wameapply udom na maombi yamekubaliwa...
Maana mm nimejaribu na nimelipia ila bado wananiandikia not paid
Na nimewapigia cm wakasema ni tatizo la kimtandao ila hadi asa ivi bado hawajanisaidia ni ck ya 3.
Naombeni ushauri wenu wadau
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.