Search results

  1. I

    Jirani yangu humpiga mkewe kila kukichwa. Nifanyeje?

    Ushauri wangu ni kweli mambo ya ndoa za watu hayatuhusu ila huyo anayepigwa ni binadamu mwenzetu, hivyo toa taarifa kwenye vyombo husika tutokomeze unyanyasaji wa kijinsia
  2. I

    Ni mimi peke yangu ndio nimeoa mke mwenye uwezo mdogo wa akili?

    Mwanaume anayejielewa hawezi kuanika madhaifu ya mke wake kwa watu, Jielewe
  3. I

    Nimegundua Mume wangu ana uhusiano wa kimahaba na dada yetu wa kazi

    Hauwezi kutatua tatizo kwa kutengeneza tatizo lingine ni kweli inauma lakini namshauri suluhu ni kusamehe
  4. I

    Naombeni msaada wenu namna nzuri ya kumkomesha huyu mwanamke!

    The best revenge is to forgive ukimfanyia hayo uliopanga kumfanyia hautafaidika na chochote zaidi ya laana tu itakayokutafuna daima
Back
Top Bottom