Search results

  1. W

    Biashara ya injini za simu, circuit motherboard

    Hiyo ni biashara haramu wananunua batteries za simu na simu vimeo wanaenda kuziwekea cover mpya kwa mabetri wanaweka karatasi mpya makaratasi hayo (stika)yanauzwa mtaa wa aggrey kwa sh 500.00 halafu huingiza dukani hapo mtaa wa aggrey ushahidi ni wiki iliyopita polisi walivamia mtaa huo na...
  2. W

    Jerry Silaa kashindwa kazi?

    Kwa jibu hili sasa naona tutaenda sambamba,kwa kweli kijana huyu ni fisadi anayechipukia,ni rafiki mkubwa wa Riz 1 na ndiye aliye mpigia pande la umeya hapo na kuhusu suala la kuihusisha DCB katika masuala ya ukusanyaji wa mapato ya halmashauri ni dili ambalo ameingia na mkurugenzi wa Benki hiyo...
Back
Top Bottom