[emoji23][emoji23][emoji23] umenikumbusha brother angu alikuwa anakula manzi mmoja hivi kunasiku bro kaenda kwa manzi kapikiwa kakaa anakula kama kwake ghafra mwenyew manzi kaingia anamkuta bro ndani [emoji23][emoji23] bro njaa yote ikakata akasema leo nimekwishaaa mimi Daah sema manzi ikabidi...
Ninae mmoja nimeingia nae kwenye mahusiano kwa sasa hata mtoa mada akimuona lazima amtake kwanza bonge la shape ukimix na lile takooo siopowa na anajua mapenz balaa kiukweli na simama na single maza hata muwaseme vip nitasimama nao mbaka mwisho
Kuna mmjoa nimekutana nae leo nikamchangamkia ikabidi na yeye achangamke tukabonga sana akachukua simu yake nikamuandika namba akanipigia nikasave tukaacha nikasepa hata home sijafika simu zinaita malaa ooh umefika nyumbani mbona hujaniambia kama umefika,
Nikase Heeh tena mbona ghafra nikamkacha...
Niko selective sana kwenye marafiki lakin sio cheap kuunga urafiki na mtu na nimgumu sana wa kuumpa nafasi mtu kutengeneza urafiki na mimi hii tabia imenisababisha kuwa na marafiki wachache lakin ni marafiki wa ukweli na ni watu makini sana hata upige simu saa 8 usiku umepatwa na shida...
Kuna mwenzako kaoa single maza jirani yangu hapa na hayupo kaenda mkoani kikazi leo inaenda siku ya 4 kama sikosei jamaa aliemzalisha huyo single maza anakuja hapo home fresh kwa baby mama wake ikifika usiku kama saa 6 ndo anaondoka siku nyingine analala fresh tu.
Sijakwambia usioe huyo single...
Wakwangu na mimi kwenye habar ya simu ndo semehu ambayo hatufatiliani kilamtu abaki na simu yake yaan we ata ukishtuka usiku saa nane ukakuta mtu anachati usiulize we kausha geukia upande wapili endelea kulala tunaishi in simple rules
Haya mambo yaskie tu ila usiombe yakukute lakin mwanamke mwenye akili timamu hawez kutelekeza watoto wake wakuwazaa mwenyew tena wadogo huo ni upumbavu tena wakiwango cha rami.
Miinachoona jamaa awachukue hao watoto atafute ndugu wakaribu aongee nae amsaidie kuwaangalia watoto kwa muda huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.