Bado na Kunduchi Beach Hotel na yenyewe tuichukue ni mali yetu.jamaa waliuziwa kwa $ 200 000 hadi sasa hawajalipia hata $100 walicheza deal wakauziwa na Motel Agip na Embassy Hotel halafu wakazalisha mgogoro wa wafanyakazi.
Wanaiambia serikali malizeni mgogoro tuwalipe...
Tukio la jana tarehe 08/ 08 askari wa doria kituo cha Mabatini Mwanza kumpiga mwenyekiti wa mtaa, na kumpiga risasi mke wake linahitaji maelezo ya kina.
Hii ni kashfa, SMG ni siraha hatari kubeba ukiwa umelewa na je maadili ya jeshi la polisi yanasemaje? Na je hivi OC CID aliyekuwa eneo la...
Hivi "misguided" kwa kiswahili fasaha ni nini? Kila nikimuona TL hicho ndio huja kichwani kwangu na kwenye hili naona ndio amejifungua kabisa.
Ukisikiliza hatuba ya baba J na ukasoma andiko la TL utaona kuna
1. Povu, jazba ambazo sijui anazitoa wapi
2. Upotoshaji
3. Too much vengeance
4...
Siasa za leo ukitafuta consistency utakwama ndugu yangu- angalia chief liar wa dunia alichohaidi wakati wa kampeni na anacho kifanya sasa huko ma mtoni.
Ni sie wenye magari ndio tunawadekeza, hawastaili kabisa kuchukua hizo hela lakini kwa kuwa tuanona ni kidogo basi hatujali. ...kama kawaida yetu...tunaishia kulalamikia humu baada ya kazi za siku nzima.
Mzee uko "spot on" na ninafahamu angalau kwenye ccm hicho kipengere cha "....asiwe mkwepa kodi" kipo ila nina shaka kama wanaotangaza nia wote wamekizingatia. ..
Ni wajibu wa kila Mtanzania mwenye zaidi ya miaka 18 ku "file" return ya mapato TRA kila mwaka,na ni haki kwa mtu yeyote kuiulizia...
Serikali inamiliki hisa katika mashika yasiyopungua 150! Ambapo mategemeo yangu ni kuwa kwa uchache kama sio wakurugenzi watendaji basi kuna wawakilishi wetu katika Bodi za hayo mashirika.
Miongoni mwa hayo makampuni ni kama Airtel ambao ni vinara wa kutunyonya.Lakini kwa kuwa Serikali yetu...
ukweli tunahitaji radical changes na tukubali kuwa zitakuja na effects zake -kuna watakao umia in the process! Mimi hilo sina shaka nalo maana hata sasa tunaumia.
Wasi wasi wangu ni kuwa hadi sasa sijaona sura ya radical changes hawa kina Makamba,Sita,Membe,etc sioni!
Lowasa can do...
Hivi Serikali yetu huwa ina utaratibu gani ku monitor kama bans zake zinaheshimiwa?
Baada ya The East African (a.k.a Kagame's mouth piece) kupigwa ban naona wamerudi kwenye circulation kwa kutumia mlango wa nyuma!
Wanatumia gazeti lao dada la The Citizen kutanganza jinsi yakulipata...
Hivi kesi ya Omary Badwel kwa kosa la kuvuta rushwa pale Peacock Hotel ndio ili-isha ki pinda pinda? (kimya kimya)au... maana jamaa bado anadunda tu wakati mkurugenzi mzalendo aliye mshikisha ilikula kwake -wakamhamisha hamisha sijui hata kafia wapi.
Huyo jamaa alirudiaga shule primary kwanza jina la Mwigulu na ndio mwanzo wa hizi shida!
Swali langu ni je? Huyo Mwigulu Nchemba Original yuko wapi? most likely hajasoma mana jina limeporwa!
Kamwambie huyo Rais wako mtarajiwa kwanza atoe affidavit na awaambie Watanzania sababu ya kutumia jina la watu Mwigulu - born 1978 na kuliacha la kwake la Madehu! born 1975.
Wazo zuri utekelezaji sio! Hivi hata kuiga tu tunashindwaga nini?
Kenya hapo tu wana "Kenya Vision 2030" iko makini na kazi inaonekana! za BRN mafanikio ni complicated hadi walete Marais wa nje kuyaona!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.