Search results

  1. S

    Njia bora ya Rais Samia kurudisha imani kwa wananchi ni kuhutubia Taifa kwa kuvunja mkataba wa DP World

    Mimi hata ahutubie sijui avunje mkataba dina imani nae tena na haiwezi kurudi hata ufanyeje
  2. S

    Rais Samia afanya uteuzi wa Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali

    Yaan hakuna mwanamke hata mmoja...haya hapa tunanusa harufu ya udini aiseee
  3. S

    Hotuba za Rais Samia hufuatiliwa sana na Watanzania

    Buhahahahahahahahaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ukweli mimi sijawah sikiliza hata moja. Ila nakumbuka hotuba za mwamba pale ofsini walikua wanawasha redio kwa sauti kubwaaa na kila mtu anasikiliza hata kula watu hawali mpaka hotuba iishe.....wengne walikua wanaandika adi notisi
  4. S

    Tulitangazwa bure Burj Khalifa...

    Mungu atatuletea Mwingine zaidi ya Magufuli na kila kitu kitarudi kwa wananchi
  5. S

    Rais Samia: Serikali Yangu Sio ya Maneno ni ya Vitendo

    Mmh vitendo gani ivyo???mbona hatuvioni???Rais wa vitendo anajulikana nchi nzima ilijngeka.CCM mna hali mbaya sanaaa tuleteen mgombea mwingine
  6. S

    Hii nguvu si mchezo: Kitenge, Zembwela na Hando wapewa escort ya ving'ora Dubai

    Vichwa vya mwendawazimu kabisa wale can you imagine???walipata zero kwenye kila kitu
  7. S

    Vizazi vijavyo vikikuta rasilimali si zao vitaanzisha uasi na kuingia msituni kuipinga serikali

    Yaan mimi nasikia uchungu sana na kwakweli kama mtanganyika nawaza sana why wauze bandari???itafika siku ya ukombozi na haiko mbali
  8. S

    Kardinali Pengo: Ni kweli Watanzania hatuwezi kuendesha bandari yetu?

    Wao ndo wameshindwa....basi wapishe watanzania wengine wenye uwezo waendeshe
  9. S

    Rais Samia awateua Lukuvi, Bulembo, Balozi Luhwavi na Omar Kheir kuwa Washauri wa Rais Siasa na Uhusiano wa Jamii

    Yaan sanaaa mnooo angalia teuzi utajua kuwa kuna udini unaendelea
  10. S

    Mkataba wa kuendesha Bandari za Tanzania wa DP WORLD ya Dubai hautazihusu Bandari za Zanzibar

    Hakuna jipya lolote kwa serikali hii iliyojaa watendaji wale wale na wawekezaji ni wale wale.nafanya kazi kwa taasisi moja iliyobinafsishwa ukweli ni kwamba hakuna mwekezaji anayetaka kutupatia faida kubwa sisi.ni anatumia mbinu zote ku-declare faida kidogo kila siku na zaidi sana anaweka...
  11. S

    Serikali imeona wabunge wamepuyanga bungeni imerudi kukusanya maoni kwa wenye akili timamu

    Sawaaa na kitambulisho cha utanganyika ndo kitumike kutoa umiliki wa ardhi,kupata kazi n.k
  12. S

    Tetesi: TEC haifurahishwi na mwenendo wa Serikali kuhusu makubaliano ya bandari na DP World

    Namshangaa ...heee Vatican ndo inaongoza dunia.mafile yako Vatican
  13. S

    Rais Samia: Mimi ni Mtanzania na Tanzania ni moja, haigawanyiki wala haiuziki

    Yaan mimi mtanganyika nina hasira achaaa niliweka picha flan ivi kwenye kiofisi changu nimezitoa zoteee kesho naenda kuweka ya Mwamposa
  14. S

    Rais Samia: Mimi ni Mtanzania na Tanzania ni moja, haigawanyiki wala haiuziki

    yaan mnfikiri kwa maneno hayo tu ndo mnaweza kutusahaulisha issue ya bandari???aisee mnacheza ....vijiwe vyote sasa ivi story ni bandari..kwenye magroup ya whats up story ni bandari....kwakweli CCM mmelikoroga na kulinywa hamuwezi....Tanganyika yetu itarudi tuuuu
  15. S

    Patrobas Katambi: Kima cha chini mishahara ya Madereva chaboreshwa

    Siwezi kufatilia hili bunge bora nikawaogeshe wale kuku wangu mana hatuna bunge
  16. S

    Kwa namna Mbowe alivyoshambuliwa na Wabunge wa CCM sidhani kama Maridhiano yatadumu!

    Tena yavunjike ata sasa ivi kesho mbona mbali
  17. S

    Tuanzishe Kampeni ya #Kataa Muungano

    Serikali tatu ni gharama kuendesha so bora kila mtu asepe tubaki na Tanganyika yetu
Back
Top Bottom