Nasikia NACTE wamezuia uhamisho wa kozi za afya kwa wanafunzi wapya mwaka wa masomo 2022/2023 eti hadi uwe umesoma semester moja au mwaka kwa wanaoendelea tu. Eti tatizo au mantiki yao ni nini ya kuzuia transfer ya kozi kwa mwaka wa kwanza?
Nenda ushirika wa neema au maeneo ya karibu na vyuo. Chumba single maeneo ya karibu na chuo ambacho sio self ni kuanzia 40000 hadi 50000. Chumba self ni kuanzia 60 hadi 100,000 inategemeana na ukubwa na uzuri wa chumba. Ila nje kidogo ya maeneo ya chuo unaweza kupata hata kwa 30,000 single...
Vyuo vya serikali vilishajaa. Omba vyuo binafsi kupitia website zao wenyewe na wala sio NACTE. NACTE wenyewe watakuja kupokea majina ya waliochavuliwa na vyuo baadae kwa ajili ya uhakiki wa sifa za kujiunga na kozi husika utakayokuwa umechaguliwa nayo. Na wao ndio wata-verify/approve chaguzi...
Habari zenu wadau!
Jamani hivi meseji zinazotumwa na NACTE kwa waombaji wote ambao majina yao yalipelekwa na vyuo NACTE kwa ajili ya uhakiki wa sifa za kujiunga na vyuo, mbona mimi sijapata siku ya pili sasa toka wametoa taarifa ya matokeo ya uhakiki au inakuwaje wadau?
Hivi inakuwaje endapo kama vyuo vya private vimekosa wanafunzi wa kutosha ila katika maombi kuna wanafunzi waliopeleza baadhi ya sifa za kujiunga na programu hiyo. Je NACTE/TCU huwa wanalegeza sifa ili vyuo angalau vipate watu?
Wao wamemchagua na taarifa zake tayari zimedhibitishwa na NACTE kuwa zimepokewa kwa ajili ya udahili, kwa hiyo kilichobakia ni kusubiri majibu ya NACTE, hata wao wamesema masuala ya kujiunga rasmi hadi uhakiki uishe ndo watapata taarifa zaidi. Inshu ni kwamba inawezekana akawa verified na NACTE...
Kuna dogo kataarifiwa na chuo fulani kuwa kachaguliwa kujiunga na chuo hicho kwa programu hiyo ya Optometry na taarifa zake zimepelekwa NACTE kwa ajili ya uhakiki. Ila baada ya kufuatilia vizuri kwenye Admission Guide book, hiyo programu ina demand ya Physics, Chemistry, Biology na B/Mathematics...
Hivi mtu mwenye ufaulu huu anaweza kusoma kozi ya Optometry hata kwa chuo cha private?
O'level
Physics- D
Chemistry- D
Biology- C
English- C
B/Maths- F
Advance
Geog- "B"
Chemistry- C
Biology- "B"
BAM- F
Na ikitokea kwa mfano chuo kikakutaarifu umechaguliwa kujiunga katika chuo husika ila...
Nina mdogo wangu ana ufaulu ufuatao;
O'level
Physics- D
Chem- D
Biology-C
English- C
Maths- F
Advance
Georg- 'B'
Chem- C
Bios- 'B'
BAM- F
Je kwe ufaulu huo anaweza soma diploma ya Optometry au Clinical Medicine hata chuo cha private?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.