Search results

  1. M

    Nataka kusoma Diploma niache degree

    nasoma agronomy, first year yan tukifungua ndo naingia second! nataka nikasome nursing sasa wazee walinambia nijarib hiyo agronomy lkn hata wao wameona kama hainifai kdg
  2. M

    Nataka kusoma Diploma niache degree

    Haki sijadisco sema ni kilimo na sielewi nahisi kama agronomy inawafaa sana CBG kuliko mimi PCB nachanganyikiwa natumia nguvu kibao kusoma na kuelewa.
  3. M

    Nataka kusoma Diploma niache degree

    wadau wa elimu, Nina swali. nataka kuacha degree nikasome diploma je inawezekana au natakiwa niende kwanza tcu kusema kama nimeacha au utaratibu upoke, msaada please.
Back
Top Bottom