Search results

  1. Mjukuu wa bibi Pili.

    Wananchi Vunjo kumburuza kortini DC Kippi Warioba. Wadai fidia ya Tzs bilioni 2

    MKUU WA WILAYA YA MOSHI KIPPI WARIOBA AFUNGULIWA KESI MAHAKAMA KUU. -NI BAADA YA KUDAIWA KUZUIA WANANCHI WA JIMBO LA VUNJO KUFANYA SHUGHULI ZA MAENDELEO. -TAASISI YA MAENDELEO YA VUNJO CHINI YA BABA ASKOFU MSTAAFU WA KKKT ,MARTIN SHAO WADAI FIDIA YA BILIONI 2. KILIMANJARO: TAASISI ya...
  2. Mjukuu wa bibi Pili.

    Mahasimu jimbo la Vunjo wakutana Kanisani ni Mbatia na Mrema

    Picha nzima ilikuwa hivi , Mbunge Agustino Mrema alialikwa na kanisa la Kinjili La Kilutheli Tanzania KKKT dayosisi ya Kaskazini kwa ajili ya sherehe za kumbukumbu ya aliyekuwa askofu wa kwanza wa Kanisa hilo Stephano Moshi,mualiko ambao pia alipewa James Mbatia. Wawili hawa bila kujua kama...
  3. Mjukuu wa bibi Pili.

    Serikali yakatia ushuru ambulance za msaada alizotoa Mbowe kwa watu jimbo la Hai

    MBUNGE wa jimbo la Hai,Freeman Mbowe amelazimka kutumia kiasi cha sh Mil 27 kuyalipia Ushuru magari mawili ya kubeba wagonjwa,aliyoahidi kutoa kwa ajili ya hosptali ya wilaya ya Hai na ile ya Machame inayosimamimiwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheli (KKKT). Hatua hiyo inafuatia magari hayo...
  4. Mjukuu wa bibi Pili.

    Wananchi arumeru wavamia shamba la mwekezaji la karamu estate usiku wa manane

    Arusha. Baadhi ya wananchi katika kijiji cha Nkoaranga na Poli wamevamia shamba la Karamu (Karamu Estate) usiku wa manane na kuamua kuotesha migomba kwa kile wanachodai kuchoshwa na serikali kushindwa kusikia kilio chao cha kurudisha kwa wananchi ardhi ya mashamba makubwa yaliyomilikiwa na...
  5. Mjukuu wa bibi Pili.

    Rais Kikwete akubali utendaji wa CHADEMA Manispaa ya Moshi

    Rais Jakaya Kikwete amempongeza Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi ,Jafary Michael (Chadema) ka utekelezaji mzuri wa miradi mbalimbali ya maenedeleo huku akiahidi kuendelea kutoa pesa kwa halmashauri hiyo kwa ajili ya kutekleza miradi mingine. Kikwete alitoa kauli hiyo wakati wa shereheya...
  6. Mjukuu wa bibi Pili.

    Meya wa Manispaa ya Moshi, Jafary Michael kutaja waporaji wa viwanja vya Manispaa ya Moshi

    Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi Jafary Michael mchana huu anafanya mkutano mkubwa katika uwanja wa Manyema mjini Moshi ukiwa na lengo la kuanika madudu yanayofanywa na baadhi ya watendaji wa Halmashauri ya Manispaa hiyo katika uporaji wa viwanja mbalimbali mali ya Umma. Mbali na kuanika...
  7. Mjukuu wa bibi Pili.

    Madiwani wa CHADEMA Moshi wapitisha azimio la kumsimamisha mkurugenzi kwa tuhuma za uporaji kiwanja

    SAKATA la uporaji wa kiwanja kinachotajwa kuwa mali ya Halmashauri ya Manispaa ya Moshi limechukua sura mpya baada ya theluthi mbili ya Madiwani wa Halmashauri hiyo ambao wengi wao wanatokana na Chadema kupitisha azimio la kusimamishwa kazi kwa muda ,Mkurugenzi wa Manispaa hiyo Shabani Ntarambe...
  8. Mjukuu wa bibi Pili.

    Joshua Nassari asema licha ya kujiuzulu Prof. Muhongo bado ana maswali ya kujibu kwa watanzania

    SIKU chache baada ya aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini,Prof,Sopspeter Muhongo kutangaza kujiuzulu nafasi yake kufuatia kashfa ya uchotaji wa fedha zilizokuwa kwenye akaunti ya Tegeta Escrow,mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki ,Joshua Nassari ameibuka na kusema azma ya kumtoa Bungeni...
  9. Mjukuu wa bibi Pili.

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    "Nyoosheni mapito ,mteuliwa wa Mungu apite."Hii hali ndio imejiokeza katika jimbo la Vunjo ambalo Mbunge wa sasa Dk Mrema a.k.a Mzee wa Jogoo amekataliwa nyumbani kwao na ngome kuu ya TLP Njia Panda ya Himo zanyakuliwa na NCCR-Mageuzi.
  10. Mjukuu wa bibi Pili.

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Katika Jimbo la Vunjo tayari matokeo kwa baadhi ya vijiji yameanza kutolewa ,taarifa za awali ni kwamba NCCR-Mageuzi inaongoza kwa zaidi ya vijiji 8 sasa kikiwemo kijiji cha Kilalacha nyumbani kwa Mbunge wa sasa wa jimbo la Vunjo Augustine Mrema.
  11. Mjukuu wa bibi Pili.

    James Mbatia achomoa drip ya dk. Mrema jimbo la Vunjo ,amnadi mtoto wa kepteni Komba

    BINTI wa Mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi (CCM),mkoani Ruvuma Kapt. John Komba, Amfrosia Komba (41),amekivuruga Chama cha Mapinduzi baada ya kukihama na kuibukia NCCR- Mageuzi . Amfrosia maarufu kama Zawadi Mlay ni mgombea pekee wa nafasi ya Uenyekiti wa serikali ya kijiji cha Ngaseni B,Kata...
  12. Mjukuu wa bibi Pili.

    Mbatia akoleza moto wa ESCROW jimbo la vunjo

    MWENYEKITI mwenza wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), James Mbatia amewataka wananchi katika jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro, kudai mgao shilingi 609, 000 kwa kila mmoja, toka kwa viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM),fedha zilizotokana na ufisadi katika akaunti ya Tegeta...
  13. Mjukuu wa bibi Pili.

    Mbunge wa Rombo Joseph Selasini abomoa Ngome ya CCM,wenyeviti wa vijiji,vitongoji wajiunga CHADEMA

    Rombo. CHAMA cha Mapinduzi katika wilaya ya Rombo kimeanza kumeguka baada ya baadhi ya wenyeviti wa vijiji na Vitongoji kukihama chama hicho huku wengine wakitishia kuondoka na kuungana na wenzao kabla ya uchaguzi wa serikali za Mitaa na Vijiji. Katika kudhihirisha hilo Makada watatu wa CCM...
  14. Mjukuu wa bibi Pili.

    Wapagazi (Porters) Mlima Kilimanjaro wajipanga kufanya mgomo wa aina yake.

    Chama cha wapagazi(Porters) wa mizigo ya watalii wanaopanda Mlima Kilimanjaro kinajipanga kufanya mgomo ,lengo likiwa ni kushinikiza serikali kusimamia malipo yao ya kiasi cha sh 15,000/= kwa siku tofauti na malipo ya sasa ya kiasi cha sh 500 wanazolipwa na kampuni za utalii. Awali wapagazi hao...
Back
Top Bottom