Search results

  1. I

    Naomba kazi, nina shahada ya Uuguzi napatikana Mbezi Beach

    Umesoma vizuri hapo juu? Nimekuambia unaweza kujitolea hata siku 2 tu kwa wiki. Au ukishindwa hata siku moja. Halafu unasema eti tunafikiri kujitolea ni sifa! Hivi wewe ukijafanikiwa mimi niliyekushauri napewa BILIONI ngapi? Huwezi kutofautisha ushauri wenye nia mbaya na nzuri? Huwezi kufa njaa...
  2. I

    Naomba kazi, nina shahada ya Uuguzi napatikana Mbezi Beach

    Mkuu, ukitaka kuwa tofauti, ukitaka uwe mahali pa mafanikio lazima ufanye kitu tofauti. Ndiyo maana waliofanikiwa ni wachache. Sio bahati mbaya. Walijinyima mengi
  3. I

    Naomba kazi, nina shahada ya Uuguzi napatikana Mbezi Beach

    Doreen, naomba nikushauri. Jiulize unataka utaalamu wako wa UUGUZI uwe vipi baada ya miaka 10 au 15 ijayo? Kwa maneno mengine unataka uwe unajua kila kitu kidogo kidogo, au unataka UBOBEE kwenye kitu gani hasa? Ukishapata jibu, sasa elekeza utafutaji wako wa kazi katika mambo yatakayokujenga...
  4. I

    Nyaraka muhimu kwa Maombi ya Kazi; Barua, CV /Resume na Rejea

    Habari Mkuu Uliyeomba msaada. Hebu tembelea uzi huu hapa chini kupata dondoo fulani kuhusu mambo ya kuandika CV/RESUME, COVER LETTER, etc. Cha kufanya wewe "Just Click the Thread" au kopi na kupasti tu. Utapata maelezo mazuri na zaidi ya hapo utaona e-mail ya mtu ambaye anafanya kazi hizi kwa...
  5. I

    Writing service for Job Applications

    Hey Guys, many thanks for perusing the link. I would be glad to provide clarifications (if any). You can send your comments/questions to info.tzeditor@gmail.com Thanks
  6. I

    Writing service for Job Applications

    Are you looking for Job? Do you want professional coaching in writing Job Application documents that create a lasting, positive impression? Then, Business Consultancy Services is the right place, and this is the right time. But first, let's face it: for every advertised Job Position especially...
Back
Top Bottom