Search results

  1. Z

    Hangary: Hatutoafikiana na EU kuweka vikwazo dhidi ya mafuta na gesi ya Russia, 90% ya waHungary watapata dhiki kubwa na uchumi wetu utaanguka

    Mkuu: Tangu aondoke Angel Markel EU imekuwa inayumba sana. Chancellor Markel alikuwa driving hub kwenye EU.
  2. Z

    Natabiri Rais wa taifa kubwa huko Ulaya atapumzishwa jambo la kutisha sana

    expand...Mashariki mwa UKRAINE vimegundulika vituo vya maabara za kutengeneza silaha za kibiologia zenye ufadhili wa Marekani, je hizo ni za nini? Wewe siasa huijui wala hutoifahamu. Nenda kanisani kahubiri injili itakusaidia kwenye Maisha yako.
  3. Z

    Natabiri Rais wa taifa kubwa huko Ulaya atapumzishwa jambo la kutisha sana

    Mashariki mwa UKRAINE vimegundulika vituo vya maabara za kutengeneza silaha za kibiologia zenye ufadhili wa Marekani, je hizo ni za nini? Wewe siasa huijui wala hutoifahamu. Nenda kanisani kahubiri injili itakusaidia kwenye Maisha yako.
  4. Z

    Je, Ndugai ataenda Msibani kwa Malecela?

    Hilo neno la "kuwashwa washwa" umelitohowa kwa nani?
  5. Z

    Prof. Muhongo amuunga mkono Prof. Mwandosya, TCU kimya!

    Mkuu: Kwa Chuo kikuu cha Timbuktu kulikuwa na masomo mengi yàliyo fundishwa hapo. Ni zaidi ya seminary ni vyema ungefuatilia kwa makini kuhusu historia yake.
  6. Z

    Prof. Muhongo amuunga mkono Prof. Mwandosya, TCU kimya!

    Mkuu: Hizi paper mbili umezisoma zote.
  7. Z

    Jakaya Kikwete: Nilifundishwa kuishi na viongozi wenzangu, upendo ndio kila kitu

    Mkuu: Usichanganye madesa, hapa kuna Brigadier Hashim Mbita na Brigadier Mosses Mnauye.
  8. Z

    Katika hali ya kawaida Makonda hana raha kabisa

    Picha ya kihindi.
  9. Z

    TANESCO yaingia mkataba wa kukodi software kutoka India kwa USD 30M

    Halafu muda si mrefu wanaleta nyingine na kuita an updated version, hiyo iliyo nunuliwa imepitwa na wkt.
  10. Z

    Kumbe Hayati Magufuli ilibaki kidogo kumshtaki Karamagi mahakamani?

    Watu Wanasema sasa hivi JK Hachomoi, ....."Hivi nilichomeka wapi?".....
  11. Z

    Je, wajua kufanya mapenzi hadharani inaruhusiwa Uholanzi, tena kweupe sio gizani?

    Mkuu: Huku kwetu watu watakuwa wanashinda kwenye hayo mabustani, na kupelekea kuongezeka kwa umasikini.
  12. Z

    Msemaji wa Serikali umedanganya; tuzo ya Nobel haijaenda kwa Raia wa Tanzania

    BREAKING NEWS The 2021 Nobel Prize in Literature is awarded to the novelist Abdulrazak Gurnah, born in Zanzibar and active in England, “for his uncompromising and compassionate penetration of the effects of colonialism and the fate of the refugee in the gulf between cultures and continents.”...
  13. Z

    Anne Makinda anunua nyumba kwa Tsh. Milioni 900, Dar

    Mkuu: Yupo wapi hapo tuonyeshe tafadhali.
  14. Z

    Urusi: Kremlin wametoa picha za Rais Putin akiwa mapumzikoni Siberia baada ya minong’ono juu ya afya ya Rais huyo kuwa mingi

    Mkuu: Huu utawala wa monarch ni kipindi cha transition ambao takriban nchi zote zilizo kuwa kwenye mfumo wa kijamaa/communism ni lazima upitie.
  15. Z

    Madiwani Buchosa wakubali kuhamia Geita ili kutoa fursa kuanzishwa mkoa mpya wa Chato

    Mwaka Juzi 2019 JPM alikutana na viongozi wa dini na walijadili kwa mapana mustakabali wa Taifa letu kwa hoja mbalimbali, baadhi ya viongozi hao kutoka wilaya ya Tunduru walipendekeza kuanzishwa Mkoa kwani mchakato ulikwisha anza wakati wa JK na msimamizi mkuu alikuwa Mh. MP akiwa kama Waziri...
  16. Z

    Tetesi: Sababu za Dkt. Kalemani kutumbuliwa Uwaziri, genge lamponza

    Mkuu: Tatizo ni kwamba, Waziri ni lazima atokane na wabunge, Rais ana nafasi kumi tu za uteuzi. Na wabunge wengi hawana sifa ya uwaziri.
Back
Top Bottom