Huo ni uchafu wenu wenyewe, kama barabara zipo lakini wananchi wanaziharibu ni ujinga wenu wenyewe, majiji mengine hayana hata hizo barabara ni kama upo kwenye makorongo ya dafur.
Umepoteza bikra hapo subiri mwendelezo wa kuchezewa mpaka siku Mungu akikuonea huruma ndipo utaolewa au atakupumzisha mahali pema.๐๐๐๐๐๐๐
Umepoteza bikra hapo subiri mwendelezo wa kuchezewa mpaka siku Mungu akikuonea huruma ndipo utaolewa au atakupumzisha mahali pema.๐๐๐๐๐๐๐
Bandiko bora kabisa hili, serikali yetu huwa inaangalia jiji la Dar tu na kwasasa Dodoma, majiji mengine yaliyobaki yanaonekana kama sehemu za wachunga mbuzi au sehemu za wavuvi naomba sana serikali iige hata hapo kwa jirani yetu kenya aone jinsi miji na majiji yalivyo na miundombinu ya uhakika...
Kuna route yenye abiria wwngi kama ya Dar na Mwanza? Pesa Mwanza ndio maana kuna uchumi mkubwa na fursa nyingi za uchumi ikiwemo uvuvi, biashara, madini, viwanda, utalii , kilimo n.k
Kuhusu miundombinu ndio maana kunajengwa meli kubwa ya kisasa, barabara, SGR pamoja na uwanja wa ndege wa kimataifa.
Kwa Dodoma ni huduma lakini kwa Mwanza haina watu na bidhaa za kusafirisha, kati ya Dodoma na Mwanza wapi kuna abiria wengi?
Umesoma geography vizuri mkuu? Unajua Mwanza ni hub ya nchi ya maziwa makuu ikiwemo, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, S.Sudan na E.Congo
Tutaona na arusha iliyowahi, coz Mwanza umesema imechelewa je uchumi wa Arusha unasoma GDP ya ngapi mpaka sasa na Mwanza ana ngapi? Kuleni hayo maukimbi na maviwanja kama yatawatoa kwenye uchumi wenu hafifu.
Dodoma naona ndio imepata master plan sisi tulishazingua miaka kumi iliyopita lakini hakuna linalofanyika kuendana na master plan, hii nchi ngumu sana.
Miradi ya Mwanza ni ya kuboost uchumi na kufungua kanda ya ziwa, daraja la jpm, meli ya MV Mwanza hapa kazi tu, SGR, via duct, masoko na stendi huo wote ni mnyororo wa kuinua uchumi, nyie arusha endeleeni kujengewa viwanja na maukumbi ya maonesho๐๐๐๐๐๐๐

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.