Search results

  1. Nyundo Kavu

    Wiki ya kumkumbuka mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    kwa sasa vipo kwenye hard copy ila mchakato wa kuviweka soft copy unakuja soon'
  2. Nyundo Kavu

    Wiki ya kumkumbuka mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    Mkuu, vitabu hivyo unfortunately viko Maktaba Kuu ya Taifa, Dar as special reserve but soon vitakuwa kwny soft copy. Aksante
  3. Nyundo Kavu

    Wiki ya kumkumbuka mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    Wadau, Karibuni Maktaba Kuu ya Taifa kuja kujisomea machapisho mbalimbali yalioandikwa na Mwl. Julius K. Nyerere enzi za uhai wake. Pia kutakuwepo machapisho yaliyoandikwa kuhusu yeye. Hii yote ni katika kuadhimisha "Wiki ya Kumkumbuka Baba wa Taifa letu hili la Tanzania. Aksanteni. Mdau wa...
  4. Nyundo Kavu

    Mnakaribishwa kuja Maktaba Kuu ya Taifa iliyoko barabara ya Bibi Titi

    Simple Mkuu... kwa sababu ni mdau mkubwa wa maktaba. Nadhani c vibaya ku-share kizuri na wengine.
  5. Nyundo Kavu

    Mnakaribishwa kuja Maktaba Kuu ya Taifa iliyoko barabara ya Bibi Titi

    Kwa wale wanaopenda kuja kujifunza 'Basic Computer Course' ambayo hutolewa bure katika maktaba zetu za Dar es salaam, Arusha, Dodoma, Mwanza, Kilimanjaro, Mtwara, Tanga na Morogoro mnaombwa mtume muakilishi wenu ili aje kuwawekea appoitments itakayowasaidia kujua tarehe ya kuanza. Tembeleeni...
  6. Nyundo Kavu

    Mnakaribishwa kuja Maktaba Kuu ya Taifa iliyoko barabara ya Bibi Titi

    Mnaruhusiwa. Kuna ambavyo havitoki unatumia ndani ya Maktaba na kuna vinavyoruhusiwa kuazimwa pia ukasomee nyumbani.
  7. Nyundo Kavu

    Mnakaribishwa kuja Maktaba Kuu ya Taifa iliyoko barabara ya Bibi Titi

    Jumamosi inakuwa wazi mdau... ila Jumapili na siku za sikukuu inakuwa imefungwa. Tafadhali fika wiki hii ya tarehe 5/9 hadi 8/9 kuna maonesho ya kujisomea uone machapisho mbalimbali
  8. Nyundo Kavu

    Mnakaribishwa kuja Maktaba Kuu ya Taifa iliyoko barabara ya Bibi Titi

    Mkuu... Maktaba inafunguliwa Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 1 jioni. Siku ya Jumamosi ni saa 3 asubuhi hadi saa 8 mchana. Jumapili na siku za sikukuu inakuwa imefungwa. KARIBU SANA
  9. Nyundo Kavu

    Mnakaribishwa kuja Maktaba Kuu ya Taifa iliyoko barabara ya Bibi Titi

    Anaingia pia na kupata huduma kama wa hapa.
  10. Nyundo Kavu

    Mnakaribishwa kuja Maktaba Kuu ya Taifa iliyoko barabara ya Bibi Titi

    Vipo Mkuu, tena vimewekwa display ya leo vingi tu. Pitia uone leo
Back
Top Bottom