Search results

  1. M

    NCCR Kasulu wamezomewa na wananchi

    Acha uwongo wewe kafulila, mbona mimi nilkuwa kwenye mkutano huo na wala hakuna mambo hayo unayotueleza hapa. Umeyatoa wapi? tunajua ni mwendelezo wa sanaa na mazingaombwe ya kafulila ya kuwahadaa watu kuwa nakubalika sana, huyu kafulila si anataka kuingia APPT maendeleo, nadhani hata mzirai...
  2. M

    KAFULILA aeleze alipata wapi Shahada ya "BBA" na Mwaka gani

    tunataka atueleze aliipata wapi? hata machali ana haki ya kuhoji iwapo anaelewa kuwa kafulila kalidanganya bunge kuhusu elimu yake?hoja ya msingi ni kafulila atueleze alisoma wapi na lini? kwa kuwa ni kfulila maneno kama ya chuki yameanza,ila kwa lukuvi, nchimbi,mkulo wakihojiwa elimu zao na...
  3. M

    KAFULILA aeleze alipata wapi Shahada ya "BBA" na Mwaka gani

    Bado ninsistiza, atueleze aliipata wapi na vyeti vyake vipo wapi? inaeleweka kuwa mpo wapenzi wa kafulila ambao mliwahi kuwashikia bango mawazili kadhaa kuwa ni mafisadi wa elimu, tunamtaka na jamaa yenu atueleze alisoma na kupata wapi shahada yake ya kwanza katika BBA na siyo kuja kubwabwaja...
  4. M

    KAFULILA aeleze alipata wapi Shahada ya "BBA" na Mwaka gani

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida, imenishangaza kuona kafulila akiwa amelidanganya bunge la Tanzania na Dunia nzima kuwa yeye ni Graduate wa BBA(UDSM), huku ikijulikana kuwa hakumaliza chuo bali alifukuzwa akiwa mwaka wa kwanza ambapo alikuwa anasoma Evening class udsm. Tunamtaka atueleze hiyo...
  5. M

    Kafulila kuendelea na ubunge

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida zitto, kafulila na wakili wao wanayemtumia kuwatetea na kuua upinzani wanalumiwa na waandishi wa habari kwa kuwapatia taarifa za uongo kuhusu Rulling iliyotolewa na mahakama kuhusu hatma ubunge wa kafulila. Imeelezwa hivyo na wakili wa nccr mageuzi na mtaalamu...
  6. M

    Kafulila pokea mshahara wako wa dhambi ya unafiki kwa Watanzania

    Bravooooooooooooooooooooooooooo kwa wale wote wnaopongeza kafulila kuvuliwa uanachama kwa utovu wa nidhamu, kimsingi hata zito analijua hilo kuwa nidhamu ni msingi wa maendeleo. N kwamba jamii isiyokuwa na nidhamu daima ni kuishi kwa ujanja ujanja kama wanavyofanya hawa jamaa. Siku moja kuna mtu...
  7. M

    NCCR wamgwaya Kafulila

    Kwa niaba ya chama changu cha NCCR, nawataarifu rasmi kuwa jana tuliwasilisha barua kwa spika kumtaarifu rasmi juu ya kuvuliwa uanachama wa Kafulila kwa makosa ya utovu wa nidhamu. Kwa hiyo anayedhani tunamgwaya aachane na mtazamo huo, hiki chama ni makini, hakina woga kinajiamini katika mambo...
  8. M

    Mnafiki Kafulila anayeelekea kufa kisiasa?

    Waungwana hata muimbe vipi kuhusu upuuzi wa Kafulila, nadhani mmerogwa akili zenu,hivi unaweza ukamtetea mwehu dizaini ya kafulila? kafulila mnafiki wa mwisho na wa kwanza, unawezaje kumtetea CCM "A", hiyo siyo akkili bali matope, amefikiri nccr hawana akili, sasa aelewe fika kuwa akina MACHALI...
  9. M

    Mnafiki Kafulila anayeelekea kufa kisiasa?

    Amesisitiza Wabusara katika maneno yake hapo juu, tujibu hoja na siyo vinginevyo
  10. M

    Mnafiki Kafulila anayeelekea kufa kisiasa?

    Ushauri wangu,watu wajibu hoja siyo kuwa wabusara amengia jana. Unaanisha nisieleze kile ninachokifahamu, au unataka nifikiri sawasawa na wewe uliyeeleza uwa nimeingia jana? haiwezekani Director 1, jibu hoja na kama huelewi kama kafulila ni ccm A basi uelewe tangu leo hii. Ni mnafiki katika...
Back
Top Bottom