Search results

  1. M

    Lusinde ajitetea, asema alipitiwa na jazba; Alaumu siasa za kampeni

    Kama yeye ni muhubiri basi tuko enzi ya sodoma na gomora
  2. M

    Lusinde ajitetea, asema alipitiwa na jazba; Alaumu siasa za kampeni

    Nakubaliana na wewe alikuwa akimalizia na kudadekii ccm oyee so aliwakilisha chama ipasavyo na yule mzee alomtambulisha alikuja kwa mbwembwe na kusema kuwa huyu ni mjumbe wa kamati kuu ya ccm na mbunge wa mtera so atakuwa alitumwa na mwenyekiti labda wa kamati kuu ndo mawazo ya chama chao. Hivi...
  3. M

    Lusinde ajitetea, asema alipitiwa na jazba; Alaumu siasa za kampeni

    Wameshachanganyikiwa hawana jipya kila mtu anaropoka tu jamani watanzania nawaomba 2015 tufanye mabadiliko makubwa Mungu atatutendea muujiza wataiba haviibiki watabaki kutoa matusi wao wenyewe tu. Baba mzima unatokwa matusi kama nini sijui bora hata wabeba mizigo kariakoo wana nafuu eti huyoo...
  4. M

    Lusinde ajitetea, asema alipitiwa na jazba; Alaumu siasa za kampeni

    Umeliona hilo na wewe pia? oh malecela kazeeka ndo vijana wa ccm wa matusi mlowataka nyie wanamtera hivi hapo mtera kuna watu wa kabila gani na kiwango chao cha elimu na maisha kwa ujumla kikoje? yawezekana kweli huyu deadstone ndo anaunafuu sasa walobaki huko sitaki kujua. Watanzania kazi...
  5. M

    Lusinde ajitetea, asema alipitiwa na jazba; Alaumu siasa za kampeni

    Nadhani kuomba msamaha haitoshi nae avuliwe ubunge si alitukana? au ndo yale yaleeeeee (hadithi ya no one is above the law) wizi mtupu many of them are above the law. Nina hasira na hao wapiga kura wa mtera atakuwa aliwapa sijui chumvi ama sukari hadi wamchague kama ndo mwendo wenyewe huu(...
  6. M

    MKE wangu ni mjuzi wa kila jambo, kamshinda hata MUNGU

    Pole sana kakangu ila umenikwaza kidogo kwa kuhusisha vituko vya mkeo na elimu na kabila lake. Mimi nimesoma sana tu na heshima kwa mume wangu iko pale pale. Pia tutakua bias kama tutakusupport wewe kwa malalamiko yako bila kujua upande wa pili unasemaje yawezekana wewe ndo una tatizo sasa nae...
  7. M

    CHADEMA clothing line

    Hiyo idea nimeipenda sana I hope wahusika wa Chadema wameupokea ujumbe na wanaweza kuufanyia kazi vijana tupo tutanunua za kutosha tuvae kila siku tukikitangaza chama chetu kwa nguvu zote though wakubwa wanaweza anzisha sheria ya ghafla hakuna kuvaa jeans haa haaa maana nchi hii imetafunwa hadi...
Back
Top Bottom