Search results

  1. Nsaji wa Lila

    Tunauza saruji (cement) ya twiga kwa bei ya kiwandani

    Wasaalam, Kama somo tajwa hapo juu. Yeyote anayetaka saruji (cement) ya twiga kwa bei ya jumla. Kiwango cha chini ni tani 10 au mifuko 200 kwa dar. Mikoani ni kuanzia tani 25 au mifuko 500. Mwenye kuhitaji aje pm kwa maelezo zaidi. Asanteni Karibuni.
  2. Nsaji wa Lila

    Je, gari yenye engine capacity chini ya cc 1000 inafaa kwa safari ndefu?

    Wakuu kwema? Hivi gari ya cc 990 na cc 1290, zina tofauti gani kwenye suala la kupiga masafa marefu? Maana wengine wanasema kama gari engine capacity yake ni ndogo huwezi kwenda nalo masafa marefu kama Dar to Kagera bila kuweka vituo vingi katikati. Je, hili lina ukweli?
Back
Top Bottom