Search results

  1. Msakapanofu

    Hii ndiyo ofisi ya Rais wa wanyonge

    Tumezoea kwa viongozi wengine kuna bendera ndogo ya taifa hapo mezani!
  2. Msakapanofu

    Uchaguzi 2020 Mnyika: Uchaguzi 2020 mawakala kutopewa fomu za matokeo

    Yaani Mafanikio yote hayo ya CCM Bado wanaogopa tuu!
  3. Msakapanofu

    Ni vitega uchumi gani kwa muda mfupi vimefanya jiji la Dodoma kuwa la kwanza kiuchumi ?

    Kuna Mkoa ulikuwa kati ya mikoa mitatu inayoongoza kwa utoro shuleni, hapo hapo ikawa kati ya mikoa mitano ya juu kwa ufaulu (shule za msingi na sekondari) .... Usishangae sana kwa hili la uchumi.
  4. Msakapanofu

    China kujenga standard gauge reli ya TAZARA

    Mkuu iliyopo kwa sasa mbona nayo ni SGR!
  5. Msakapanofu

    Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda Na Makongoro Nyerere Wateuliwa NEC ya CCM

    Nadhani hiyo habari ingetolewa na 'komred" Polepole
  6. Msakapanofu

    CCM ijibu mbona Barrick na Acaccia hawamo katika waliofutiwa leseni, ila wazawa. Je, anapewa nani?

    Duh ndiyo zenu hizo mnakimbilia kuhoji uraia mkishindwa hoja
  7. Msakapanofu

    CHADEMA, ili kuonesha msimamo Nape na Bashe wapite bila kupingwa 2020!

    Ugumu utakuwa kwenye mchujo ndani ya chama cha kijani
  8. Msakapanofu

    Wanasiasa wa CCM fanyeni utafiti kabla ya kuongea

    Nilivyoelewa mimi ni bomba refu kwa kusafirisha mafuta ambayo ni yamoto (heated)
  9. Msakapanofu

    Nimemsikia Rais vibaya au nilikuwa naota? Eti wawekezaji Tanzania watapewa Tax Holiday!!

    Ukiwekeza kwa 100% unaweza kupata 100% profit or vice versa
  10. Msakapanofu

    Kada mtiifu wa CCM na member wa JF, Chriss Lukosi asoma namba

    ushuru mil 17,000,000 ni sawa na TShs 17,000,000,000,000 au ulimaanisha mil 17/=
  11. Msakapanofu

    Kioja kingine: Marehemu alikuwa katibu wa Chama cha walimu, na mjumbe wa NEC ya CCM

    Halafu katibu wa chama chao anasema ameleta rambirambi toka kwa rais, kwanini isiwe kutoka kwa mwenyekiti wao??
  12. Msakapanofu

    Hivi Wananchi wa Mtera mmekosa Mbunge mpaka mnatuchagulia mchekeshaji? hamna matatizo nyinyi?

    Bora ya watu wa Mtera huenda hawakujua kabla, shida inaanzia kwa hao wa mjengoni wanaompigia makofi
  13. Msakapanofu

    Rais Magufuli apiga Marufuku kuingiza Sukari toka Nje

    Nadhani mkuu ungeulizia "SUDECO" kwa sababu mambo ya SUKITA yalikuwa ya Chama chao
  14. Msakapanofu

    Ili kuwaelewa CCM, unahitaji shahada nyingi sana za ujinga

    Mkuu Kura halali ni baada ya kutoa zilizoharibika ambazo hazifiki 341,895. Kwa taarifa tuu.
Back
Top Bottom