Search results

  1. M

    Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

    Mku simu yenye namba yake iliingia wino ila usijali kwani kwao Tandika nitapata ila tupeane muda kwa kuwa nipo Mkoa
  2. M

    Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

    Asante Mku. Kwa ukubwa wa Familia safari ilinishinda Mku
  3. M

    Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

    Mimi mwaka jana kuna rafiki yangu yupo Dubai nilienda kwake baada kurudi Tanzania aliniambia kazi zipo nyingi sana hasa za Ulinzi pia aliniambia kuna safari za Canada lakini kwa Canada ni kwa kujilipua kwa ukimbizi. Ila kwa Dubai nilishindwa kwa Mshahara aliniambia ni 2700 kwa fedha za kule...
  4. M

    Raia Mwema: Safari ya Halima Mdee na wenzake kuelekea ACT Wazalendo yaiva

    Kwa kweli hawa Dada zangu amekosa washauri mpaka wajiunge ACT kwanza lazima wakumbuke hiki chama kilivyoasisiwa mpaka anakabidhiwa Zitto. Labda wangejiunga na Cuf afadhali au waombe msamaha kwa chama Chao kwani wakiondoka ndo mwisho wao kisiasa.
  5. M

    Nadaiwa Bilioni 4 benki, sina kitu hali iliniendea vibaya. Naomba ushauri

    Sorry sana Mkuu Umri wako nimeuona Mkuu. Sasa ushauri wangu ni huu hapa kwa umri huo. Hicho Ulrich on a go tafuta ingia ktk nchi hizi Malawi, Zambia na Msumbiji tafuta Watanzania walioko huko hutajutia. Kajishughulishe biashara yoyote ile Mgahawa, ununuzi vyuma chakavu kwani nakushauri...
  6. M

    Nadaiwa Bilioni 4 benki, sina kitu hali iliniendea vibaya. Naomba ushauri

    Pole sana Mku. Swala kujiua hili usilifanye kabisa kwani hilo ni deni huwa kuna njia za kulipa kwani usikate tamaa. Una umri gani Mkuu
  7. M

    Kati ya CHADEMA na CCM kipi ni chama imara?

    Makonda alikosa hii nafasi ya mtoto wake azaliwe Marekani. Tuache siasa hakuna hasiyehitaji frusa.
  8. M

    Je, ikitokea ukapoteza kazi yako utawashirikisha watu wako wa karibu? Ama utanyamaza.?

    Pole sana Dada kwa kupoteza kazi. Nakushauri sio wote wanaotakuwa kujua kwamba umeounguzwa kazi angalia wale wa muhimu na hata hao uwe makini nao. Kwa ujumla ijulishe familia yako ndo wa muhimu sana. Mm nilikutana hili jambo 2020 lakini nashukuru sana familia yangu yaani ndugu hasa mke wangu...
  9. M

    Chuoni vijana karibia wote wanajiunga UVCCM, nimechanganyikiwa Mungu tusaidie

    Kama wanajiunga kwa kazi maalum tujichunguze kwanza kabla ya kusifu.
  10. M

    Ubelgiji: CHADEMA yakutana na Kufanya Mazungumzo na Mjumbe wa Kamati ya Maendeleo (DEVE) ya Bunge la Ulaya

    Alilolipanga Mungu Mwanadamu hawezi kulitekeleza. Ndo maana hiki ulichokimaanisha hakiwezekani. Na mm nikiwa kama binadamu nasema hivi hili ulilolimanisha halitakuwa bali ataishi na kuyatenda makuu kama aliyoyatenda Musa juu ya Wanaizraeli. Amina
  11. M

    Kafulila: Lissu acha kuzipaka matope Mahakama za Tanzania, unataka kutuambia US & China ambao nao ni wanachama wa ICSID Mahakama zao zinaingiliwa?

    Mku umefafanua vizuri sana kila mmoja hapo ana maamuzi yake kwa sasa kati ya Baba na Watoto unaweza kujua umri wa hao watoto.
  12. M

    Dodoma: CCM yaitisha viongozi wake wote nchi nzima kuanzia Dec 07

    Mku ukisema wapinzani hawaelewi wafanyeje kumbuka mkutano ulioitishwa ni kwa ajili ya kuja kujibu hoja za wapinzani na Chadema kimeshasema mwisho wa maridhiano ni mwezi huu ujanja wa kuridhiana hatuna ila ujanjaujanja na wao wameshakuwa wajanja. Tujiandae kujibu hoja tuu kwani tusidharau...
  13. M

    Washington: Freeman Mbowe kuzungumza na Watanzania Waishio Marekani

    Hongereni sana Chadema kwani ni mfano wa kuigwa. Mwenyezi Mungu awatangulie. Amina
  14. M

    Kafulila: Lissu acha kuzipaka matope Mahakama za Tanzania, unataka kutuambia US & China ambao nao ni wanachama wa ICSID Mahakama zao zinaingiliwa?

    Kafulila jitahidi pia kuangalia upande wa pili kwani maisha sio siasa tu kwani hata Hapi ameamua kuingia ktk kilimo. Ukweli humweka mtu huru na mtu huru huaminiwa kwa hoja zake kwani sio za kuokoteza kwa kuwa ndo fani yake.
  15. M

    Tangu Heche amgalagaze Dkt. Mollel pale Star tv naona sasa kila anapokanyaga CCM inakuja kufuta Nyayo

    Heche sio jeuri kwani ujuwaji wa mambo mengi ndo unakufanya umwone ni jeuri kumbuku huwa anasimamia. hoja. Ndo maana Dr Mollel alishindwa kwa kuwazungumzia watu badala ya. hoja iliyompeleka ktk kipindi.
  16. M

    Shaka: CCM inalaani kitendo cha Chacha Heche kumdhalilisha Vibaya Mwanachama wa CCM

    Nikiwa kama mwanaccm hili linatokana na kutojiamini ktk jamii kutokana na matendo wanayosimamia viongozi. Mfano leo nilikuwa nasubiria daladalq hapa kwa mkuu wa mkoa Ilala nikawa nimejibanza ukutani akaja kijana mmoja akaniambia sirusiwi nikamuuliza kwanini akanijibu ndo uongozi umepanga hivyo.
  17. M

    Mnyika: Tukiwa Germany tumeomba kuungwa Mkono tunapodai Katiba Mpya na Tume Huru ya uchaguzi, Sasa tunaelekea Ubelgiji kuwaona EU!

    Mwenyezi Mungu awatangulie ili mpate sapoti hapa mawazo. Kwani ni jambo jema tupate katiba mpya. Jumapili njema team
  18. M

    John Heche anastahili kuvaa viatu vya Freeman Mbowe

    Pamoja unaccm wangu Heche ni Kiongozi anastahili hiyo nafasi. Na hili Dr Mollel analijua alijibu hoja zake kama mwanasiasa anayejutambua kwani Heche hashughuliki na personal issue ktk kujibu hoja
  19. M

    Usalama kwa Dkt. Bashiru: Lolote likimtokea tumewajua wabaya wake

    Huyu tuhuma zake ndizo zitaanza kuwekwa mezani kwani hatadhuriwa kwa lipi haswa mbona sioni utisho wowote alionao Bashiru. Waliondolewa Makatibu wote Nchi nzima ambao aliwaweka yy pasipo nadhara itakuwa yy. Sioni utisho wake wowote
Back
Top Bottom