Search results

  1. M

    Kushamiri kwa online App za mikopo

    Dhamana ya huo mkopo ni hiyo smart phone Yako na wala sio kitambulisho chako kama unavyodhani, katika masharti uliyokubali ni pamoja na kuweka dhamana ya simu Yako hiyo IMEI number za simu wamechekua ulishindwa kulipa wanazima simu hiyo mpaka utakapolipa
  2. M

    Jokate na Lulandala kuimaliza CHADEMA! Nawaamini kwa mipango na Propaganda

    Kwa CCM leo Jokate mnamwita Mwamba kweli? Yaani Jokate ndio akaimalize CDM kabisa! Hatari sana hii
  3. M

    Nape unapata wapi jeuri ya kuwapangia Watanzania cha kupenda?

    Akitaka kujua kuwa ni wengi au wachache ni rahisi tu, arekebishe tu katiba na kuweka tume huru ya uchaguzi Kisha watu wapige kura ndio atajua kuwa hajui. [emoji3][emoji3]
  4. M

    Face 2 Face with Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo: "Tunafanya Politics of Engagement kwa kuwa Pragmatic on What is Possible"

    Hakuna kitu kinaitwa politics of engagement, huko ni kuamua tu kukikabidhi Chama chako Kwa Chama tawala ili kikuamulie upate kiasi gani na chenyewe kipate kiasi gani, Kwa ufupi tu huko kuamua kuwa chawa Kwa Chama tawala na serikali.
  5. M

    Inakuwaje Rais wa Zanzibar anawapa wahamiaji Uraia wa Tanzania?

    Yaani unatumia muda mwingi kutoa ufafanuzi wa kijinga Kwa kutoelewa kabisa utaratibu, sawa hata kama ni raia wa Msumbiji, nani alikudanganya kuwa Rais wa Zanzibar ana mamlaka ya kutoa Urais wa Tanzania? Anatoa Uraia kama nani na wakati sio Rais wa JMT?
  6. M

    Kama Dkt. Slaa alijivua nguo mwenyewe, mengine ni marudio

    Maelezo ni mengi sana lakini ni ngumu kuelewa umeandika juu ya Nini hasa?
  7. M

    Binamu Bananga: CHADEMA tunakutana kujadili mahojiano ya Rais Samia na BBC ili kujibu nini? Nasisitiza tusikurupuke

    Kweli Kaka naona umeamua kusimama na Mke wako, endelea kupambana kiongozi kwani posho za ubunge ni muhimu sana hata katika kipindi hiki ambacho wanaume wengi kama wewe tunategemea ada za shule za watoto wetu, nyumba na mafuta ya gari zigharamiwe na wake zetu.
  8. M

    Binamu Bananga: CHADEMA tunakutana kujadili mahojiano ya Rais Samia na BBC ili kujibu nini? Nasisitiza tusikurupuke

    Kweli Kaka naona umeamua kusimama na Mke wako, endelea kupambana kiongozi kwani poso za ubunge ni sana hata katika kipindi hiki ambacho wanaume wengi kama wewe tunategemea ada za shule za watoto wetu, nyumba na mafuta ya gari zigharamiwe na wake zetu.
  9. M

    Naibu Waziri wa Masuala ya Siasa Wa Marekani, Victoria Nuland aja Tanzania, kukutana na Rais Samia

    Kumbe ndio maana alikimbia nchi? Jamaa Mshamba sana huyu
  10. M

    Naibu Waziri wa Masuala ya Siasa Wa Marekani, Victoria Nuland aja Tanzania, kukutana na Rais Samia

    Hawezi kuwa na taarifa huyu huwa ni mpaka aokote kwenye mitandao Kisha anajifanya ni taarifa za uchambuzi wa kijasusi kumbe tapeli tu aliyekimbia nchi
  11. M

    Naibu Waziri wa Masuala ya Siasa Wa Marekani, Victoria Nuland aja Tanzania, kukutana na Rais Samia

    Acha umbea wewe kwa habari zako za kuokota kwenye mitandao Kisha unajifanya kutuahabarisha sisi. Wewe umetoroka nchi kwa sababu ya uhalifu then kila siku upo busy unaendekeza umbea tu kwa habari za uchochezi Tanzania Kisha unajifanya kachero kumbe kibaka tu
  12. M

    Uwapi "wembe wa Mdude uliotumika kumnyoa Mwendazake" ambao Samia Alitishiwa nao majuzi?

    Jamaa ni Mshamba sana sijawahi kuona, nadhani ndio maana hata alifukuzwa TISS. Alikuwa akimpinga sana JPM na kujifanya yupo upande wa opposition, baada ya Mama Samia kuwa replaced kila siku yeye anahangaika na CDM kwa kuandika makala fake anaziicha uchambuzi wa kijasusi kumbe ni upuuzi mtupu...
  13. M

    Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) iachane na njama za kuvuruga uchaguzi, zitaligharimu Taifa

    Ninyi wanasiasa hasa wapinzani ni watu wa ajabu sana, kwa miaka yote hii mnasema tume sio huru, mnakaa kimya miaka yote bila kulazimisha tume huru ya uchaguzi ipatikane, then yanakuja mambo ya kuwabana mnaanza kusumbua watu, acheni mambo yenu ya ajabu ajabu mliamua kuingia kwenye uchaguzi kwa...
  14. M

    Kama Bunge lingevunjwa jana, leo ilikuwa ni majonzi makubwa kwa CHADEMA

    Ambacho haukielewi ni kudhani kuwa mbunge ndio anatengeneza wanachama na wakati uhalisia ni kwamba wanachama ndio wanatengeneza mbunge. Mnachokosea ni kuwekeza nguvu katika kuchukua wabunge kwa kudhani ukichukua mbunge ndio umechukua na wanachama, hizi ni akili za Popo na mkumbuke kuwa wanachama...
  15. M

    Mbinu zitumikazo na baadhi ya vyama tawala kubaki madarakani duniani

    Wewe ni ajabu kweli kweli, yaani umeiweka CCM ili watu wapime kwenye mizani na kuja na conclusion ya lengo la mada yako sio? Sawa umeeleweka Sent using Jamii Forums mobile app
  16. M

    CCM chotara inaweza kuwa hatari kuliko CCM asili na CCM makinikia

    Hugo hana anakijua ni mjanja mjanja tu kwani angekuwa mjuaji angekuja na hoja sasa kwa kuwa hajui anakuja na vimaneno vya kutishatisha ili aaminike ni mjuaji. Hugo nadhani atakuwa ni muuza mashati ya CCM pale Lumumba nje njia huwa wanashida sana hawa kujifanya wanaijua CCM kumbe utopolo Sent...
  17. M

    CCM chotara inaweza kuwa hatari kuliko CCM asili na CCM makinikia

    Mbona wewe unayeijua CCM umeshindwa kuja na hoja ya kuchangia kwa kuijua kwako CCM zaidi ya kuja na mipasho na tambo za ujanja ujanja kwa kutaka uonekaje mjuaji wa mambo mazito wakati huo huo hakuna hata hoja moja uliyoweka. Jenga hoja acha kujitafutia umaarufu kwa kujificha ndani ya hoja na...
  18. M

    Mbowe na kisa cha farasi aliyembeba Yesu kuingia Bethelehemu

    Bushesha jr, Unajitia mwamba ku quote vifungu vya biblia na wakati haijui. Yesu hakupanda farasi wakati anaingia Bethlehem bali alipanda Punda! Sent using Jamii Forums mobile app
  19. M

    CHADEMA kuchangisha Milioni 350 ni maigizo na fedheha

    Kwani CCM Dar waliposema watachanga na kumchukulia fomu ya kugombea JPM unadhani JPM hana hiyo pesa ya fomu? Sent using Jamii Forums mobile app
  20. M

    Tume Huru ya Uchaguzi anayotaka Mkapa & Wapinzani ni ipi? Au kama hii ya Ghana? Nani anatupatia?

    Kwanza kabisa naomba nikupongeze sana kwa kuwa na kiwango kikubwa cha kumeza maneno ya kukaririshwa na wale ambao kwao tume huru ya uchaguzi sio jambo la muhimu kwa kuwa tu ya sasa inawabeba. Kwa mtu mwenye uelewa wa kawaida sana anatakiwa kujua kwamba msingi wa utawala wa nchi ni wananchi...
Back
Top Bottom