Search results

  1. T

    Ni kutaka kujuzwa tu historia ya marehemu... Ndicho Zitto Kabwe na sisi tunataka kujuzwa!

    Marehem kaacha watoto wa kike wawili! Alafu ni warembo mnoo. Sasa mnaotaka historia fupi kwani hamjui mke na watoto wa marehemu hawatopata wa kuwawowa tena!!? Kafa na slim...
  2. T

    Kumsingizia Rais Magufuli ufisadi haiwezi kumzuia kupambana na mafisadi

    Naomba ulisome hilo jedwari limetoka kwenye report ya CAG. Alafu utusaidie majibu!!
  3. T

    JK Nyerere:- Moyo Kabla Ya Silaha , Kuasisi TPDF Kulinda Wananchi Si Watawala

    Hivi unatambua kwamba jeshi la wananchi wa Tanzania linaongozwa na sheria zake na ni serikali!?. Kasome vizuri sheria za jeshi mkuu! Mkuu wa majeshi ni km Rais, ila kutokana na mamlaka anapaswa kuwa na mkuu juu yake. Ambaye atakuwa na mamlaka kikatiba! Lkn mkuu wa majeshi anayo mamla ya kumkemea...
  4. T

    Mbowe na viongozi 6 wa CHADEMA wafikishwa Mahakamani Kisutu, wasomewa mashitaka 8, wanyimwa dhamana hadi Machi 29

    Si mnatafuta sababu yakuviweka vikosi mtaani!? Kwenye hilo mmefail....
  5. T

    Kwanini namuunga mkono Magufuli, siyo CCM; na kwanini naunga mkono upinzani na siyo CHADEMA

    labda nipate msaada wa neno "KUKUA na KUKUWA"
  6. T

    Ushauri kwa IGP Sirro

  7. T

    Mbona Viongozi wa Dini mkoa wa Dar wamekaa kimya wakati Mwenyekiti wao Sheikh Salum anashambuliwa mitandaoni?

    Aman ipi hiyo imevurugwa!? Au ni wananchi wa kanda gani wameguswa? Nyie muombeni Mange poo yaishe..
  8. T

    Serikali iwe makini na Lissu maana hana cha kupoteza

    Kwa hiyo mnataka kuipoteza na familia yake!?
  9. T

    CHADEMA wakanusha taarifa ya NEC kuwa wamesimamisha mgombea ubunge jimbo la Singida Kaskazini

    Kati ya sheria na utaratibu, ni kipi kinachoanza!?
  10. T

    CHADEMA wakanusha taarifa ya NEC kuwa wamesimamisha mgombea ubunge jimbo la Singida Kaskazini

    Shida ni kustukiwa kwa mchezo wengu wa kupitia vichochoroni!! Sasa mnahaha pa kuficha nyuso zenu. Ebu usome vizuri huo ujumbe wa uliyemnakiri!!
  11. T

    Peter Msigwa: We were liberated only to be captured again

    Naona mmefunga shule, sasa mnatusumbua na upepo mliolishwa!! Jitahidi umalize japo kidato cha nne. Kitakufungua ufahamu na utaweza kuchangia humu jukwaani. Sasa hivi uwe unatoa like na dislike tu!
  12. T

    Peter Msigwa: We were liberated only to be captured again

    Muonekano wa binadam yeyote kwa mara ya kwanza umuonapo, ndo uhalisia wake. Hivyo sikushangai hilo jina lako ndo uhalisia wako!! Wakukupuuza tu wewe.
  13. T

    Lema: Mbunge wa CHADEMA anatarajia kuhama kati ya Jumatano na Ijumaa

    Km kweli nyie ni Man City na mnamuamin Gadiola wenu! Ruhusuni na bibi kizee wa turini nae auchezee mpira. Alafu tuone ni nani atawaamsha mashabiki vitini!! Sasa hiyo style ya mpira wa upande mmoja bado mnajidai!? Hovyooooo
  14. T

    Kijana aliyetuma picha za Nyufa za Hosteli za Magufuli UDSM akamatwa na Polisi, anyimwa dhamana

    Hata skirt za wadada zinanyufa bana!! Nyie vipi!?
  15. T

    Lema: Mbunge wa CHADEMA anatarajia kuhama kati ya Jumatano na Ijumaa

    Hatua za mwisho za kukipata chuma imara!! Hakika katika moto huu!? Lazima kiimarike.
  16. T

    Vigogo wa kisiasa wakutana Dar kuteta masuala mazito

    Hivi mzee Kingunge yuko chama gani kwa sasa!?
Back
Top Bottom