Hawezi kukubali kwa sababu zifuatazo:
1. Kuipa Israel anga ya Saudia ili ikapige Iran kutatafsiriwa sawa na Saudia kuiunga mkono Israel na vitendo vyake kule Gaza.
2. Iran italipiza kwa kurusha makombora ndani ya Saudia
Israel haina silaha yake bali ni silaha za Marekani kwenye mikono ya Israel. Iran inatengeneza silaha zake yenyewe tena silaha bora kabisa na nyingine anazitumia Urusi kule Ukraine mfano Shaheed 136 drones. Kwa teknolojia ya kijeshi Iran kaizidi Israel mbali sana. Kinachoisaidia Israel ni msaada...
Iranian nuclear sites are very hard to hit. Zimejengwa underground kilometa kadhaa chini halafu juu kuna layers kibao za zege kali. Huku juu ni majengo tu lakini mitambo yenyewe haifikiki hata kwa bunker bursters za Marekani
Iranian media reports dismiss attack came from abroad
While we still wait for official comments, Tasnim news agency has quoted “informed sources” as saying that “there are no reports of an attack from abroad against Isfahan or any other part of Iran”.
Separately, an Iranian analyst argued on...
Mkuu hujui lolote na unapotosha. Iran kapigana na Iraq ya Saddam Hussein iliyokuwa inaungwa mkono na Marekani na nchi zote za magharibi pamoja na majirani kama Saudia, Kuwait UAE na wengineo kwa miaka minane kuanzia 1980 hadi 1988 na technically alishinda ile vita. Nikujibu yafuatayo:
1. Iran...
Makombora mangapi ya Israel yametua ardhini na kuleta uharibifu? Maana mlihoji makombora ya Iran kule Israel. Vipi nyie makombora ya bwana wenu Israel yameharibu nini ndani ya Iran?
Tena mikwara yote ile walituma drones tatu tu na zote zimetunguliwa. Kwa ufupi shambulizi la Iran dhidi ya Israel limeifilisi Israel. Iran ilitumia cheap drones na makombora ya zamani yenye gharama nafuu wakati Israel ilitumia takriban USD 3.5bn kutungua hizo drones na makombora na bado hizo...
According to Aljazeera today (19th April 2024) An Iranian arms control expert says the reported attack “was far more limited than many expected”.
In an interview with Al Jazeera, Ali Ahmadi said Israel “has much more limitations in its operational range” than many think.
“Certainly, after...
According to Aljazeera, RT and CNN the so called strikes are nothing just like an act of sabotage. Air defense systems were activated against suspicious objects in the skies and three drones were intercepted and destroyed. It was not an attack to match the scale of Israel rhetoric and vows for...
We jamaa chenga na boya kweli. Kwa taarifa yako wafanyakazi ndiyo walipa kodi wakubwa kuliko wafanyabiashara na nyie watu wa mtaani. Tena wafanyakazi hawana pa kukwepea hiyo kodi kama walivyo wafanyakazi na watu wa mtaani. Unawaonea husda wafanyakazi kwao wao ndio waliokutuma uache shule na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.