Search results

  1. josam

    Kwanini Vatican haitambuliki na UN?

    Paschal, asante kwa uchambuzi wako. Hakuna nchi inaitwa au iliwahi kuitwa Tanzania Bara. Muungano huu ni fumbo. Rais wa Zanzibar akienda nchi za nje anatambulika kama Rais au namna gani?
  2. josam

    Hussein Bashe, zuia mahindi kutoka nje kwanza nchi ijitosheleze

    Tatizo ni wewe! Bashe ni kati ya vijana na waziri makini SANA nchi hii, anashirikisha, anadhubutu, anafikirisha, anatenda! Tungekuwa na mawaziri 5 wa aina ya Bashe, Tanzania ingeingia kwenye record ya nchi za kipato kikubwa kwa kila mwanabchi.
  3. josam

    DOKEZO Je, uliwahi kufika bar ya Lubumbashi (kuzimu ya Dar), Mbezi Mwisho?

    Si UNAONA wanalokea chao? Watoto na wananchi kama siyo wao, kama siyo waajili wao! Ngoja wakose wa kuwalipa in 30 years to come
  4. josam

    IGP Sirro: Hatuna barua ya kumkamata Askofu Gwajima, utaratibu ufuatwe

    Gwajima amengukuwa ni mwanachama wa CHADEMA msingekuwa mmesubiri hata tamko... Kila siku wanaimba Weledi, weledi, sijawahi ona ni mahali gani weledi wao hautiliwi shaka.
  5. josam

    Nusrat Hanje: Sisi 19 ni sauti ya mamilioni ya Wapinzani nchini

    Mbunge wa CHACHANDU ni Mpinzani wa nani? Anampinga nani?
  6. josam

    Ninyi viongozi wa umma mnaochapa watu viboko mnawachapa kwa mamlaka gani?

    Kwa wabongo wapi wataacha kuchapwa? Wacha watutandike fimbo tu
  7. josam

    Ninyi viongozi wa umma mnaochapa watu viboko mnawachapa kwa mamlaka gani?

    Hakika acha tuchapwe tu, hakuna namna nyingine ya kutufanya tuache uzezeta.
  8. josam

    Mtu mwenye akili timamu hawezi kushiriki uchaguzi wa Tanzania

    Sababu yoyote ya kutopiga kura isivyo kulazwa hospitalini haikubaliki. Watanzania hatujali vitu.
  9. josam

    Mtu mwenye akili timamu hawezi kushiriki uchaguzi wa Tanzania

    Wakumlaumu ni yeyote ambaye hakuoiga kura. Tumeona miaka yote wasiopiga kula bara ni zaidi au karibu na 50%. Hapa hata mwizi mnampatia gepu kubwa la kufanya ufedhuli wake. Lakini pia kama waliopiga kura ni 50% na bado over 50% wanachagua mtu, maana yake ambao hawakupiga kura wangefanya hivyo ni...
  10. josam

    Mtu mwenye akili timamu hawezi kushiriki uchaguzi wa Tanzania

    Piga kura. Full stop! Sababu nyingine za kutopiga kura isivyo ugonjwa wodini ni UZEMBE tu.
  11. josam

    Mtu mwenye akili timamu hawezi kushiriki uchaguzi wa Tanzania

    Piga kura. Full stop! Sababu nyingine za kutopiga kura isivyo ugonjwa wodini ni UZEMBE.
  12. josam

    Mtu mwenye akili timamu hawezi kushiriki uchaguzi wa Tanzania

    Hekima gani, dawa ni kupiga kura basi.
  13. josam

    Mtu mwenye akili timamu hawezi kushiriki uchaguzi wa Tanzania

    Wewe usiye piga kura kwa sababu yoyote ile isiyo ugonjwa wodini ni UZEMBE.
  14. josam

    Mtu mwenye akili timamu hawezi kushiriki uchaguzi wa Tanzania

    Wapinzani siyo wa kulaumiwa. Wewe usiye piga kura kwa sababu yoyote ile isiyo ugonjwa wodini ni UZEMBE. TUSILEMBE
  15. josam

    Mtu mwenye akili timamu hawezi kushiriki uchaguzi wa Tanzania

    Hiyo siyo sababu. Ni urofa KUTOPIGA kura
  16. josam

    Mtu mwenye akili timamu hawezi kushiriki uchaguzi wa Tanzania

    NDIYO MAANA TUNAFELI. SABABU ULIZO ZIANISHA SIYO KIGEZO CHA KUTOPIGA KURA, HUO NI UZEMBE.
Back
Top Bottom