Search results

  1. Abby mona

    Hodi humu jamvini

    Miaka 20
  2. Abby mona

    Hodi humu jamvini

    Siwaelew hao yaani
  3. Abby mona

    Hodi humu jamvini

    Hapa bwan kaka kinywajii hakiwezii kushka kooni vzrii maan najhsi mpweke maan bdo. Nahitaji kusma maan nimekaa home mpaka nimechkka kabsa Nisaidie kunijuza katika hiloo Kam second selection zipo au hamna
  4. Abby mona

    Hodi humu jamvini

    Mm nimemalza elmu ya kidato cha nne mwaka jana ila first selection mwaka huu sjapangiwa na nilipata dvsn 3 ya 25 AF combination n hkl sas naona second selection zmegma kutokaa huu mwaka
  5. Abby mona

    Hodi humu jamvini

    Second selection za kidato cha tano
  6. Abby mona

    Kijana wangu ameshindwa kuchaguliwa kujiunga na kidato cha tano wala chuo hivi second selection bado zipogo kweli waungwana

    Hv huu mwaka second selection zitatoka kweliiii au ndio kampenii mpaka mmetusahau wanafunzii WA huu mwaka
  7. Abby mona

    Msaada kwa walio achwa tena second selection form v

    Samahani wakuu mnaweza kuniambia hao walioachwa second selection mwaka2017 ni kwa sababu ipi hapo labd
  8. Abby mona

    Second selection za form five zitatoka lini?

    Hivi unataka asome tuition na huku ajachaguliwa bn hapo inakuaje sas
  9. Abby mona

    Hodi humu jamvini

    Nashkuru babu Labda unawezaaa kuwa unafahamu second zinatoka lini labda Unisaidie
  10. Abby mona

    Ukweli kuhusu hii forum ya jukwa la elimu

    Naombenii mnishauri kuhusu second selection mwaka huu zinatoka kweliiii au tukalime tu
  11. Abby mona

    Ukweli kuhusu hii forum ya jukwa la elimu

    Jamaniii naombaa kuuliza second selection zinatoka lini wapendwa mwaka huu maan nimesbri sana mpaka nimechoka
  12. Abby mona

    Hodi humu jamvini

    Unaweza nisaidia kweliiii kaka
  13. Abby mona

    Hodi humu jamvini

    Nashkuru lakini nilikua na uliza second lini jamanii
  14. Abby mona

    Hodi humu jamvini

    Kiaje anazo fiksii ebu nielezee kidgo
  15. Abby mona

    Hodi humu jamvini

    Hahahhahhaah saw nimeelewa
  16. Abby mona

    Hodi humu jamvini

    Asantenii nashkurunii mnooo lakn Nina swalii hap nawezaa kuuliza na kulipata jibu
Back
Top Bottom