Search results

  1. J

    Hotuba ya Pieter Willem Botha aliyekuwa Rais wa Afrika ya Kusini ya Makaburu

    Mtoto wa Mkulima, huu ni mwanzo tu. Serikali isipowajali watu wake tutaishia kuwachinja wageni mmoja mmoja na sijui watafanya nini. Kweli speech ya Kaburu Botha imenisikitisha sana lakini hata mimi nakubaliana na mambo mengine aliyoyasema. Sisi tunapenda starehe kuliko kazi, na tunadharauliana...
  2. J

    Aliye injinia kukamatwa na rushwa wabunge Arusha ni EL

    Uzuri wa siasa ndio huu, kwani kila kambi inazusha. Ukweli utajulikana baada ya mahakama kulishughulikia hili. Kesi imepangwa kusikilizwa/kutajwa tarehe 5 Oktoba, na sidhani kama uchaguzi utafanyika bila muelekeo wa kesi kufahamika. Cha muhimu kujua hapa ni kwamba PCCB huko nyuma walikuwa...
Back
Top Bottom