Search results

  1. Tyanyi

    Naweza kupata chuo kusoma Udaktari 2020/2021?

    Mkuu ikishindikana kuna mlango wa pili mungu atasaidia utafunguka tu, nitaomba ajira kama CO, then nitatumikia ajira yangu b4 cjamaliza miaka 3 ili niruhusiwe kwenda kusoma, nitaristi hayo masomo mawili, ili badae nitaenda kusoma MD nikiwa in service pia nikiwa na vigezo vya ENG na B/MATH.
  2. Tyanyi

    Naweza kupata chuo kusoma Udaktari 2020/2021?

    Nina diploma ya CLINICAL MEDICINE. GPA 4.6 O_level matokeo. Ndo PCB ni alama C Eng -E B/Math -F Ndo nilikuwa nauliza vp kuna uwezekano wa kusoma MD chuo chochote grv or priv
  3. Tyanyi

    Naweza kupata chuo kusoma Udaktari 2020/2021?

    2014 matokeo yalitoka kwa mfumo wa GPA
  4. Tyanyi

    Naweza kupata chuo kusoma Udaktari 2020/2021?

    Vya private system inagoma ksubmit application. ikishindikana nitarud kuristi masomo mawili Eng na B/Math.
  5. Tyanyi

    Naweza kupata chuo kusoma Udaktari 2020/2021?

    I mean O_level ndo E inahesabika kama satisfactory
  6. Tyanyi

    Naweza kupata chuo kusoma Udaktari 2020/2021?

    Wanazingua sana bora wangekataa mapema ili kama ni kurudia hayo masomo mawili nirudie mapema
  7. Tyanyi

    Naweza kupata chuo kusoma Udaktari 2020/2021?

    Tyr mkuu ila nina wasi wasi na hiyo E ya Eng pamoja na F ya B/math maana TCU wanataka hayo masomo angalau uwe na alama D
  8. Tyanyi

    Naweza kupata chuo kusoma Medical Doctor? intake ya 2020/2021?

    TCU wanataka PHY, CHM, BIO, B/MATH na ENG yote uwe na angalau alama D ila Mm Clinical medicine diploma nna GPA -4.6 O_level Phy-C Chm-C Bio-C Eng-E B/Math-F
  9. Tyanyi

    Naweza kupata chuo kusoma Udaktari 2020/2021?

    TCU wanataka PHY, CHM, BIO, B/MATH na ENG yote uwe na angalau alama D Ila mimi Clinical Medicine diploma nna GPA -4.6 O_level Phy-C Chm-C Bio-C Eng-E B/Math-F
  10. Tyanyi

    Kati ya Chuo cha KCMC na MUHAS kipi bora zaid kwa kozi za Afya

    Why KCMC is your favourite for that course!!??
  11. Tyanyi

    Naomba kujua sehemu ya kupata miwani ya macho kwa bei nafuu

    In liquid manufactured, ni kitu gani kizuri kitumike kusafishia miwani ya macho ili idumu zaidi.
  12. Tyanyi

    Kati ya Chuo cha KCMC na MUHAS kipi bora zaid kwa kozi za Afya

    Ni chuo gani kizuri zaidi kati kcmc na muhas kipo nondo zaidi kwenye kufundisha course ya Medical Doctor (MD).
Back
Top Bottom