Search results

  1. kopundo

    Je, ni zipi faida na hasara za Diapers kwa watoto?

    Kuna ndugu yangu mke wake amejifungua.Nilipoenda kumwona mtoto, nilinunua zawadi ya pampers na kuzipeleka kisha nikaambiwa eti hawezi kuvalishwa kwa vile bado ni mdogo. Is this argument has any scientific foundation au zile zile misconception au myths in our society? I welcome opinions...
  2. kopundo

    tendo la ndoa kwa mama anyonyeshae ni vibaya?

    Thanks for your comment. I have lived and studied in the USA for eight years and never heard about kubemenda mtoto. There are so many misconceptions and myth in our community that really need to be addressed and people be made aware of scientifc facts about these myths.Poor education that we...
  3. kopundo

    tendo la ndoa kwa mama anyonyeshae ni vibaya?

    Jamani wana JF,ni kweli kwamba kufanya tendo la ndoa na mama anyonyeshae mtoto kunamathiri mtoto anyonyea?kuna husemi kuwa mtoto "amebemendwa" ikimaanisha mtoto huwa na afya mbaya au kuchelewa kukua au kushindwa au kuchelewa kuongea, kutembea na kadhalika kama wazazi watakuwa wanafanya tendo...
  4. kopundo

    Ukosefu wa ajira Tanzania na mfumo wa elimu yetu

    Wana JF! Hivi ni kweli kuwa kuwa ukosefu wa ajira hapa kwetu Bongo unasababishwa na mfumo wetu duni wa elimu ambao bado unazingatia na kusisitiza zaidi kazi za kuajiriwa na za ofisini licha ya ukweli kwamba kazi hizo sio rahisi kupata kama zamani? Mimi nadhani kuna haja ya kubadilisha mitaala...
  5. kopundo

    recruitment agencies

    Mkuu,shukrani kwa comment na ushauri. Ukweli ni kwamba huwa ninapoomba kazi huwa natuma CV ya kila profession,yaani CV moja tu.Nina CV mbili tofauti wala sijachanganya profession zote kwa pamoja.Ahsante kwa ushauri
  6. kopundo

    recruitment agencies

    jamani wana JF.Nami natafuta kazi sasa kwa muda mrefu tu bila mafanikio yoyote.Nina bachelor ya electrical engineering na Associate degree ya nursing lakini sasa undugunization ya bongo kwa kweli inanifundisha adabu.Any suggestions or commends?
  7. kopundo

    Daah....nimetafuta kazi jamani hadi sasa napoteza imani

    Usiofu kaka,najua inavunja moyo sana ila piga moyo konde.Mimi mwenyewe natafuta kazi kuanzia 2008 bila mafanikio.Mimi nina bachelor ya Elecrical engineering and Associate ya Nursing lakini mambo bado magumu na sijakata tamaa.
  8. kopundo

    Daah....nimetafuta kazi jamani hadi sasa napoteza imani

    Usiofu kaka,najua inavunja moyo sana ila piga moyo konde.Mimi mwenyewe natafuta kazi kuanzia 2008 bila mafanikio.Mimi nina bachelor ya Elecrical engineering and Associate ya Nursing lakini mambo bado magumu na sijakata tamaa.
Back
Top Bottom