Search results

  1. M

    Kwanini Paul Makonda anautafuta wokovu sasa kwani ametenda dhambi gani inayomtafuna?

    Ndio maana unaona Wewe ninakuita mpuuzi tu,yote unayoyasema juu ya Makonda hakuna lolote lenye udhibitisho,eti Makonda alimpiga ndiye alimpiga lissu risasi,mala ho Makonda alizurumu huai wa Watu,ukiuliza ni mtu yupi aliyefia mkononi mwa Makonda hakuna mwenye jibu,asira zenu kwa Makonda ni kuwa...
  2. M

    Kwanini Paul Makonda anautafuta wokovu sasa kwani ametenda dhambi gani inayomtafuna?

    Wewe ni mpuuzi tu kila kukicha ni Makonda utadhani alikuchukulia mke wako, Makonda kachagua njia ya kumtanguliza Mungu mbele ndio maana unaona kachagua kuwa karibu na viongozi wadini,ulitaka ashinde kwa waganga wa kienyeji anapiga ramli chonganishi?ila napo ungekuja kusema humu kuwa Makonda...
  3. M

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Liverpool wamejikatia tamaa ni mwendo wa kugawa tu 🤣😂😂
  4. M

    Hii ndio hali ya Bumbuli ambayo Mbunge wake ni Waziri wa Mambo ya nje ya Nchi

    Makamba akili hana kabisa, Yeye ni kutegemea uchawi tu, Sasahivi eti nae anataka urais wakati Jimbo tu linamshinda wakati kawa waziri miaka kibao,Sijui watanganyika ninani aliyeturoga?Majitu kama haya hata kwenye mikutano yao upaswi kwenda, lakini utakuta uchaguzi ukikaribia anaanda machawa...
  5. M

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Cloop amesema mwaka huu anataka kukusanya kila kombe linalopita mbele yake 🤣😂😂, mwaka huu asipoangalia vizuri anaweza ondoka na Carabo tu 🤣🤣🤣
  6. M

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    WanaLiverpool matokeo jamani, mbona jukwaani kumepoa sana leo kuna nini?leo jukwaa hili limepoa sana utafikiri Sio la Liverpool
  7. M

    Zanzibar: Kifo cha utata cha Katibu wa ACT-Wazalendo Jimbo la Chaani chaibua minong'ono

    Wapuuzi tu hawa siwalikuwa wanasema Magufuli ndiye alikuwa anateka na kuuwa watu, Sasahivi hicho kitu amna Sasa matamko ya nini kama Sasahivi maisha ni raha mstarehe, Maana aliyekuwa anawauwa hayupo tena?Ogopa wanasiasa matapeli akina Zitto Cop wameona akuna anayewazungumzia wanaanza swaga.
  8. M

    Kafulila: Utulivu wa kisiasa wa Rais Samia umekuza Uwekezaji mauzo ya nje yameongezeka kutoka $8.8bl mpaka $13.9bl sawa na TZS 35Trilion

    Kwaiyo tumerudishwa uchumi wakati, kumbe ndio maana Jeska alimkimbia Kafurila ziro kabisa, Shilling yetu inaporomoka Kila siku, dollar kwenye mabenki amna,CAG kasema Samia kakopa tillrion 30 kwa miaka 3 ya Samia maana yake nchi inalemewa na madeni, Sasa hiyo hela inasaidia nini nchini.Uchawa...
  9. M

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Bora kelele zimepungua mtaani, maana ilikuwa kelo tukutane tena Epl lazima mdondoshe point hapo.
  10. M

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kweli aliwapa jina Man U la nyumbu hakukosea,unafingwaje kizembezembe hivi,humu hamna timu ya mpira ni genge la wauni kama wakiendelea hii timu itawachukua miaka 100 kichukua kombe kubwa la heshima kama UEFA na EPL na uropa,wachezaji wako goigoi utafikiri wote ni Islamic wamefunga.
  11. M

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Leo niko upande wa nyumbu maana hawa vishingo wanamdomo sana,haaaaa tangu lini nyumbu katishwa na jogoo bwana?Man U nipigie hawa watu tupunguze makelele mtaani.
  12. M

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Sasahivi wadau wamekimbia jukwaani utafikiri wote ni Islamic wako kwenye futari, Subiri wasazishe uone Kingereza kitacho shushwa humu jukwaani, utafikiri wote ni waingeleza.Leo nyumbu hawezi waacha salama 😂🤣🤣🤣
  13. M

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Kimeisha walamba huko 🤣😂😂
  14. M

    Kwenye awamu ya 5 viongozi wote Wastaafu na waliokuwa madarakani mawasiliano yao yalidukuliwa na kuanikwa hadharani. Faragha zao zilipuuzwa

    Hata wakati wa chadema wakiwa moto enzi za katibu mkuu Slaa walikuwa wakidukua sana viongozi wa Serikali na kilipua mabomu kwenye mikutano yao ndio maana chadema kipindi hicho ilipendwa sana kipindi hicho maana waliongea kwa nyaraka zilizodukuliwa au kivujishwa,hata Sasahivi Serikali ya Samia...
  15. M

    John Heche: Magufuli aliniahidi kunipa nafasi ya Uwaziri kama ningekubali kuhamia CCM

    Heche huyu huyu aliyenunuliwa na Lowassa na kuanza kulamba matapishi yao waliokuwa wanamtapikia Lowassa , ndiye aliyekataa uwaziri wa Magufuli au kuna Heche mwingine; uchaguzi unakaribia tunasikia mengi.Chadema pale wakusema angalau tukamwamini ni Myika tu wengine ni vibaraka wa Mbowe.
  16. M

    Rais Samia anaongoza Nchi kwa ufanisi utafikiri alijiandaa kushika Urais kwa zaidi ya Miaka hamsini iliyopita

    Dollar amna,maji/Umeme shida, Hospital za Serikali uduma mbovu,NHF imefirisika mpaka wameamua kupunguza vifurushi,garama za maisha zimepanda mala dufu tokea Samia ashike madaraka.Samia kwakweli ni janga la taifa basi tu watanganyika hatuna cha kufanya.
  17. M

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Leo ndio mwisho wa ndoto ya ubingwa,unapigiwa hapo nyumbani kwako 🤣😂😂
  18. M

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Man City 1🤣😂😂🤣 Kimeisha umana tiyari , City 💪
  19. M

    Alichosema Januari Makamba kuhusu uchaguzi wa 2020 huo ndio ukweli mtupu

    Wewe naona utoto unakusumbua,nilini wapinzani waliisha wahi kukili adharani kuwa mwaka huu uchaguzi umekuwa huru tokea mfumo wa vyama vingi uhasisiwa hapa Tanzania? Tokea enzi za akina Mrema mpaka Sasahivi Hadithi ni hizi hizi tumeibiwa/ tumedhumiwa, badaye mnashiriki huo uchaguzi na mtu...
  20. M

    Dodoma: Yanayojiri kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na BAWACHA

    Aliyeiua chadema ni Mbowe kwa tamaa zake, baada ya kukiuza chama kwa Lowassa, Lowassa aliingiza watu wake kwenye mfumo wa chadema,wakawa wanachagua wagombea ubunge na udiwani pasipo kuwachuja, Maana Mbowe alisema aliyejiunga leo na aliyekuwepo tokea zamani wote wanahaki sawa,hapo ndio wauni...
Back
Top Bottom