Search results

  1. G

    Mheshimiwa Rais wetu msaidie Mama yangu apate haki yake

    Mheshimiwa Rais wetu Joseph Magufuli nakupa sifa kwa uongozi wako thabiti katika taifa letu la Tanzania. Miaka 6 iliyopita mzazi wangu (Mama) alinunua ardhi kwa ajili ya ujenzi kule Chanika ambapo wakazi wa Kipawa walipohamishwa Kipawa kupisha utanuzi na ujenzi wa uwanja wa ndege. Tulifuata...
  2. G

    Tahadhari ukienda kununua gari show room kuwa makini sana

    Nimeamua kuandika hii thread kuwatahadharisha mnaonunua magari ktk show rooms kuwa makini yasije kuwakuta kama yaliyonifika mimi . Nilichukua mkopo Benki moja kwa ajili ya kuendeleza na kukuza kazi yangu. Nikaenda na pesa ktk showroom moja ipo mtoni kwa Azizi Ally jirani na petrol station na...
Back
Top Bottom