Search results

  1. M

    ~::Waridi la Penzi::~

    MM hadithi yako ni nzuri sana! nilipoiona niliona ni ndefu ikaanza kunikatisha tamaa. Nilipoanza kusoma, kila nikimaliza sentensi moja nyingine inaita! nimesoma mfululizo hadi kumaliza kwa muda mfupi tu. BIG UP MM! Ni somo pia kwetu - hivi nampelekea "jamaa home" asome naamini ataambulia somo...
  2. M

    Kuonja hairuhusiwi?

    Kweli bwana! huyu muonjaji ilibidi atupe data kamili basi, kama bibie ni mchumba wake au mke wa mtu au yeye mwenyewe ni mme wa mtu au mchumba wa mtu - hapo hata maoni ya watu yangekuwa kamili kamili. Hata hivyo hebu tutoe angalizo: Kwa maelezo yako wewe muonjaji inaelekea ulikula kavu kavu...
  3. M

    Mtoto wa kigogo ahusishwa tukio la ubakaji hoteli ya KNCU

    Hata mie nionavyo ndivyo! mkeo akishafikia hivyo, muache au kama ni adhabu basi umpe mkeo maana ndiye mkosaji mkuu katika hilo! Maana huwezi kujua - labda alimdanganya jamaa kuwa hajaolewa, au kaachika, au kajipeleka peleka tuu ili mradi waliridhiana wote wawili! (wengine ni hulka yao). Hata...
  4. M

    Nani wa Kulaumiwa??

    Huyu binti anaonekana kuwa na afya njema, msafi na ana muonekano wa akili nzuri na uelewa wa kutosha. Kwa muonekano huo, na mahala alipo - inawezekana anamsaidia mama /Shangazi yake kupeleka hizo mboga ama nyumbani au Gengeni kwenye mradi wao. Hiyo haina maana kuwa hasomi shule, labda kuwe na...
Back
Top Bottom