Search results

  1. Aaronium

    JK unapotoa rambirambi kwa kanumba 10,000,000/= je wazee wa EAC utwalipa lini mafao yao?

    Complain complain complain! Ni hilo moja tu umeona ndugu? Hebu fikiria kila jambo na wakati wake na ufunguke sasa, kesi ya wazee wa EAC ipo mahakamani siyo, unafikiri wakishinda na kuamliwa walipwe haitawezekana! Well, scarcity mentality vs Abundant mentality. Na wengine woooote wenye madai yao...
  2. Aaronium

    Ukweli kuhusu Rwanda na Kagame kwa ujumla (tofauti na wengi wajuavyo)

    That's well said once again,i spoke emotionally kuhusiana na huyu ndugu, well, what happened to hulka yetu waTanzania? Always want to troubleshoot, kuumbua tu, then sisi wenyewe hatupigi hatua hata kidogo! Huyu ndugu ni kati ya wale hard-man-ship ni issue, wale wamejenga discipline, and they've...
  3. Aaronium

    Ukweli kuhusu Rwanda na Kagame kwa ujumla (tofauti na wengi wajuavyo)

    What is your motive, TANZANIA tuna matatizo mengi mno rundo ambayo simply because hatuna raisi kama Kagame hayatatuliki, hebu sema, ulipenda hawa ndugu waliogundua tatizo lao na kutafuta mbinu za kulitatua washindwe? ndiyo hulka gani hiyo ya KiTanzania, wengi hatujui hata nchi yetu inaenda vipi...
  4. Aaronium

    Tanesco; Hivi kuna mgao wa umeme kimya kimya?

    wazira anamaliza taarifa yake unakatika
  5. Aaronium

    Bora ubunge ufutwe tu! - Serukamba

    Nakuunga mkono kabisa, BUT dhana ya kufanya uchaguzi ni hii haswa ya kumuuliza maswali hayo, na ni kabla hajachaguliwa ili asije akachaguliwa ili ajaze utumbo wake, akishachaguliwa unamuulizaje tena, thats where people's power come in!
  6. Aaronium

    Bora ubunge ufutwe tu! - Serukamba

    Ushauri mtukufu; Kwanza, ubunge ni kazi ya kujitolea tangu enzi! kama alifikiria atatajirika amekosea mno! halafu hat lugha yake inaonyesha ni mtu wa juche-madesa! Inabidi ndugu awaeleze vizuri wapiga kura wake! Pili, ukiona unakwazika that much, kwa nini usiachane na huo ubunge? Umesema kwa...
  7. Aaronium

    Aina ya Viongozi wa Umma kama Peter Serukamba ni Janga la kitaifa!

    Huwezi kuamini, hata Tundu Lisu na Uroho wake anataka posho ziongezwe!
  8. Aaronium

    Kamati za bunge mnatuchefua

    Na posho za vikao hivyo ni balaa, pampja na kutochukua hatua yoyote, wanaendelea kufyonza funds za siye walipa kodi, ile ni kama TV series yani, wana maana gani kama siyo kujionyesha tu na hakuna dead end au conclusion zenye mshiko!
  9. Aaronium

    Kuendela kuangamia kwa CUF; Je, nini chanzo?

    Chanzo ni kuungana na CCM! Na kitapotea kabisa machoni na mawazoni, kama Afro Shirazi na Zanzibar ilivyomezwa!
  10. Aaronium

    Data Protection act kuwaathiri wanaharakati?

    Na ili muendelee kuiba na kufyonza kimyakimya!
  11. Aaronium

    Data Protection act kuwaathiri wanaharakati?

    Give me a break! Unasema ni sasa! Mbona kuna hadi tume ya maadili ya viongozi na mpaka kesho kutwa waakina Mramba, Yona na wenzao bado wanatesa tu ati ni wawekezaji wa ndani! Acts don't solve problems, ........
  12. Aaronium

    Afya za mawaziri watano ni tete

    Kwenye RED;Umaskini na dharau kwa walala hoi hazitakwisha kamwe, na ninyi wapiga kura msiyeona haya mnastahili kunyan'ganywa haki na kwanza HAMNA HAKI YA KUCHAGUA VIONGOZI kama watachaguliwa wanaofurahia kuzurura nje ya nchi ati kwa shughuli zao huku watu wanakosa mishahara, na kutibiwa kwao...
  13. Aaronium

    Mitandao isitumike kumchafua Rais

    Pamoja na kuwa ni ukweli, naongezea hapo, ni kwamba akiwa kioo cha jamii, mara tu anapoingia kwenye utumishi uliotukuka anatakiwa aelewe kwamba matendo yake maisha yake n.k vinahusishwa moja kwa moja na nafasi yake kwa jamii!
  14. Aaronium

    Baraza la mawaziri kuvunjwa. Mwakyembe, Mwandosya kutoswa

    Jamani, sote tutambue kwamba bila kuwaondoa mafisadi kwenye system hakuna mtu atakayeongoza vyema hii nchi, "chupa mpya mvinyo wa zamani" bado tunaishi kwenye shadows za akina Mramba, Yona, Mkapa na wengine wengi ambao mabadiliko yoyote watayapinga kwa uwezo wao wote ili siri zao zisifunuke!
  15. Aaronium

    Cheza na Kikwete, yuko kotekote, Kijijini Msoga hapa

    Haya mkuu, hao jamaa waswahili si ndo wanatia kinywani kila mapato bila ku-invest, taaria ni kwamba wazo lake originally ni zuri lakini mifuko hiyo tutainunua kwa magendo yote hapa mjini!
  16. Aaronium

    Bunge linaeleke kurudia makosa

    Kwa pande yangu naona zaidi ndani, makosa yaliyorudiwa haswa ni yale ya watu kuingiza serikali katika mikataba isiyo na tija na ambayo pamoja na hilo inatutia hasara kama nchi na baadae kutunyonya mpaka tone la mwisho la damu ati madeni! Ni wazi kwamba mikataba inaingiwa na pande mbili zenye...
  17. Aaronium

    Lusekelo: Kawafananisha ma-dr. Wa tanzania na wauaji wa albino!!

    So madaktari ndiyo wenye uwezo pekee wa kutatua mgogoro, what a pathetic man! Angekaa kimya tu, aangalie tofauti ya kipato anachojilipa yeye na kile cha wafasnya kazi wake kwanza
  18. Aaronium

    Prof. Tibaijuka amjibu Jussa; adai Jussa amepotosha Wazanzibari

    Wewe mwarabu ya TZ yaache kama yalivyo, why don't you concentrate on your country's issues? By saying so, una maana JK anamipaka ya kutawala pia? Kwa ushauri tu, huelewi vizuri hii pande, try to deal with your own issues, kama waingereza, wamarekani, wamisri,watunisia,wasaudi, wa syria wote they...
  19. Aaronium

    Prof Tibaijuka lazima ajiuzulu

    At least mngekuwa na uwezo wa kuchagua viongozi wenu wenyewe! Rais wa Zbr anachaguliwa Dodoma, mnapangiwa makamu wa pili wa rais ndiye mwenye madaraka makubwa kuliko wa kwanza, still manazungumza kwa hasira, kuzurura abroad siyo lazima uwe umejifunza mambo ya maana, hebu nambie, wamnaokwenda...
  20. Aaronium

    Prof Tibaijuka lazima ajiuzulu

    This is absurd, do you people read between lines? Anayekwenda UN ni nani? Kuna mwakilishi yeyote wa serikali ya Zbr anayetambulika UN? Kama mnazo sheria (ati sharia) zenu kwa nini basi msizitumie kuchukua hilo eneo? Mnanu'gunika tu wakati ukweli mnaujua, ati Sharia zenu ni kama kanuni tu za...
Back
Top Bottom