Search results

  1. kinesthetic

    Namna gani nitawazuia Nyani kula mahindi shambani

    Samahani wakuu, Nilikuwa nauliza namna gani naweza kuwazuia Nyani wale wadogo (Ngedere), wanamaliza mahindi yangu kabla hayajaanza kukomaa, yaani wanavunja vile vinavyoanza kuweka mahindi. Naombeni ushauri kuhusu kuwaondoa au kuwazuia wasiendelee kula. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom