Search results

  1. Hadrianus

    Simba tuendelee kuwaombea Njaa Etoile du sahel wako nafasi ya tatu ligi yao

    Maombi yamejibiwa, tunaanza round ya kwanza.
  2. Hadrianus

    Simba SC yatangaza rasmi kumuuza kiungo wake Left Footer Magician Rally Bwalya

    Kwamba haujui Haaland kauzwa kwa bei gani kwenda City? Chama, Miquesson, Kisinda, ulisikia wameuzwa kwa bei gani?
  3. Hadrianus

    Meneja vs Wakala

    Habari wanamichezo. Nini tofauti kati ya Meneja wa mchezaji na Wakala wa mchezaji?
  4. Hadrianus

    Anaejua mishahara ya wachezaji TPL, tusaidiane kujua 10 bora

    15M 12M 10M Wengi 8M hawa akina Zimbwe na mastaa wa kibongo.
  5. Hadrianus

    Anaejua mishahara ya wachezaji TPL, tusaidiane kujua 10 bora

    Hakuna mchezaji bongo anayevuta 20
  6. Hadrianus

    Simba SC yatangaza rasmi kumuuza kiungo wake Left Footer Magician Rally Bwalya

    Uswahili hautaweza kuisha kwenye vilabu vyetu, wakisajili kwa dola kadhaa wanapiga kelele.Wao wakiuza ni kuficha ficha kwanini?
  7. Hadrianus

    Mshahara wako ni kiasi gani? Unaridhika nao?

    Kuna matatizo na mahitaji ya lazima yanahohitaji pesa hilo ulitambue kwanza.
  8. Hadrianus

    Mshahara wako ni kiasi gani? Unaridhika nao?

    Kama ni pesa ya dhulma, wizi, kamari, riba, ushirikina huwezi kua na furaha.
  9. Hadrianus

    Mshahara wako ni kiasi gani? Unaridhika nao?

    Hakuna furaha bila pesa. Zunguka tu ila pesa ndiyo furaha. Unadaiwa kodi ya nyumba, hakuna msosi ndani, familia haijavaa, huna kiwanja, mtoto wako hapenzdezi, wazazi wako macho kwako, mke wako hujamhudumia. Hiyo furaha utaitoa wapi?
  10. Hadrianus

    Huyu Koffi Olomide wana Simba SC tumemkosea nini hadi Kututusi Tusi la Nguoni katika Wimbo wake mpya wa Acquitte?

    Nilitaka kushangaa eti wewe ndiye uliyemleta kumbe ni Nandy!
  11. Hadrianus

    Singida Big Stars tumefuzu Ligi Kuu Tanzania Bara, tupeni ushauri

    Mfano mzuri ni timu yetu ya taifa, wachezaji ni wakawaida kabisa yani viwango vyao ni vidogo ndiyo maana hata kutoka nje ni changamoto. Pili wachezaji wa Kitanzania 90% hawajitambui mfano:- Ibrahim Ajib. Angalia Morrison licha ya ujinga ujinga wake ila anawatesa vigogo wa soka hapa nchini.
  12. Hadrianus

    Singida Big Stars tumefuzu Ligi Kuu Tanzania Bara, tupeni ushauri

    Kama DTB iliamua kujitoa je fedha za kuendesha timu Mnatoa wapi? Kama inamilikiwa na watu je unaweza kututajia Wakurugenzi wa timu yenu? Bajeti yenu ya msimu wa 2022/2023 ni shilingi ngapi? Malengo ya klabu kwa miaka mi tano (5) ni yapi?
  13. Hadrianus

    Singida Big Stars tumefuzu Ligi Kuu Tanzania Bara, tupeni ushauri

    Inshu ya jezi. Jitahidini ubunifu wa jezi uwe mzuri na bei iwe rafiki. Kuna kipindi jezi ya Mbeya City ilivaliwa nchi nzima.
  14. Hadrianus

    Singida Big Stars tumefuzu Ligi Kuu Tanzania Bara, tupeni ushauri

    Mchukueni FRED FELIX MINZIRO, huyu mzee ni kocha mzuri sana.
  15. Hadrianus

    Singida Big Stars tumefuzu Ligi Kuu Tanzania Bara, tupeni ushauri

    Wachezaji wa ndani viwango vyao kiukweli haviridhishi ni vya kawaida.
  16. Hadrianus

    Singida Big Stars tumefuzu Ligi Kuu Tanzania Bara, tupeni ushauri

    Ushauri:- 1. Kati ya Kulwa na Ndoto msichague mmoja wa kumkazia. 2. Muwe watu wa kufanya fitna. 3. Msiwe watu wa porojo mitandaoni, wekezeni kwenye vitendo zaidi hapo ndo mtavuna mashabiki kwa wingi.
  17. Hadrianus

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Machester City anaweza kuongoza ligi kwa kwa muda mrefu.
  18. Hadrianus

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mwezi October United tunakibarua kizito
Back
Top Bottom