Naitwa PAUL JAMWA MWAMTEKE.
Natafuta kazi ya udereva ninauzoefu wa kuendesha magari makubwa na madogo.nimepitia chuo cha usafiriahaji cha taifa (NIT).leseni yangu ina madaraja kama yafuatayo A.B.C.C1.C2.C3.D.E.F.G.
Ninauzoefu wa miaka 10.mawasiliano 0689517393/0747474369/0653405923/
Sent using...
Naitwa PAUL JAMES MWAMTEKE
Natafuta kazi ya udereva wa magari makubwa (maroli) nimesomea mafunzo yaudereva katika chuo cha usafirishaji cha taifa NIT. Ninauzoefu wa miaka 10. Pia ninauzoefu wakuendesha magari aina zote yaani Magari makubwa na madogo.
Leseni yangu inamadaraja kama...
Natafuta nafasi ya udereva ndugu zangu ninauzoefu wa miaka kumi na mbili(12) katika kazi hii leseni yangu ina madaraja A.B.C.C1C2.C3.E.F.G. Nimesomae mafunzo ya udereva katika chuo cha taifa cha NIT.
Naombeni msaada kama kunamtu anakampuni au kama kuna mtu anajua kama kunasehemu kuna hitajika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.