Baada ya kuondolewa kwenye uenezi wa CCM, alikuwa anafundisha elimu ya uongozi, akaita chuo cha uongozi.
Ukitafakari sana utaona kana kwamba CCM walikuwa wanakitangaza chuo chao kijajusi jasusi hivi kumtumia Polepole huku wakituaminisha kuwa wamefarakana.
Natabiri Polepole atakuwa mkuu wa Chuo...
Mtateseka sana mwaka huu.
Tabia cha mtu Malaya,awe mwanamke au mwanaume,huwa anawaza kuwa anavyoishi yeye kimakaya Malaya na watu wote huishi hivyo
Akipita njiani akiona kuku au mbwa wanajamiiana anatamani angekuwa yeye.
Simba mmezoea kuhonga marefa na kununua mechi.
Sasa mnawaza na yanga...
Kwahy mtwara ilipopelekewa vikosi vya jwtz na vifaru,sakata la gesi ilikuwa busara,au wakati wa kununua korosho walizolima wa nguvu zao nayo ilikuwa busara?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.