Search results

  1. bahati1980

    Uhujumu NSSF

    [emoji23][emoji23]Poor minded again and again Sent using Jamii Forums mobile app
  2. bahati1980

    Uhujumu NSSF

    [emoji23][emoji23][emoji23] kama huna fact kaushaaaa usipaniki kirambasa ww Sent using Jamii Forums mobile app
  3. bahati1980

    Wafanyakazi NSSF tumejiroga wenyewe

    Noma kwa kweli, watu wanabeza maendeleo Sent using Jamii Forums mobile app
  4. bahati1980

    Wafanyakazi NSSF tumejiroga wenyewe

    This is so real and Trueeeeee, Wachache wapenda kunufaika wamebanwa kufabya ubadhilifu wanakimbilia JF kutupa maneno ya uongo
  5. bahati1980

    Uhujumu NSSF

    Tarehe ya kujiunga Sasa inarelate vipi na uzi wa tarehe 27.01 Sent using Jamii Forums mobile app
  6. bahati1980

    Uhujumu NSSF

    We unaonekana ni staff uliebanwa mteremko wako.. sikushangai, Wizi haulipi ndugu yangu .. acha jamaa achape kazi.. mwache aendeleeeee kuwanyoosha vizuri kwa maslahi ya umma, wananchi hatutak watu design yako kwa sasa wanaojiangalia wao wenyewe Sent using Jamii Forums mobile app
  7. bahati1980

    Uhujumu NSSF

    Unajua Hii kasi ya sasa hivi inaonyesha kabisa watu waliozoea dezo pale mjengon NSSF inawapa watu mchecheto ndo yanazaliwa mambo kama haya... Maana hizi zinaonekana kama ni kelele za watu wachache wa Makao makuu tu... maana mkoan watu wapo busy na kutoa huduma fresh kabisa.. anyway ulaji dezo...
  8. bahati1980

    Uhujumu NSSF

    Moja kati ya Hoja mbovu kuwahi kutokea Jamii forum, kwanza umeandika kama una issue personal sanaaaaa .. Fanyeni kazi achen ujanja ujanja Sent using Jamii Forums mobile app
  9. bahati1980

    NSSF si shamba la bibi tena

    Binafsi nafurah sana kuona shirika hili limebadilika hata utendaji wake umekua thabiti kabisaaaaaaa.. Erio anafanana na Awamu ya 5 inavyotaka. NO JANJA JANJA TIME.[emoji23][emoji23] Yani unapata unachostahili sik unachotaman.. yani ni mwaka tu na nusu hivi lakinj mnyoosho unaonekana live kuwa...
  10. bahati1980

    Malalamiko kuhusu uongozi wa NSSF

    Mimi nashangaa kweli yani wengi wakishaona wamebanwa kuiba hela wanaanza kutafuta njia ya kuchafua waadilifu aiseee.. mimi sishangai watu hawa kama BigYou maana andiko lak linaonyesha kabisa ana issue personal na muhusika haina mashiko kabisa. Maana vitu sikuhizi vipo wazi kabisa. Sent using...
  11. bahati1980

    Malalamiko kuhusu uongozi wa NSSF

    Hivi wandugu hii issue ya Dege bila kumung'unya maneno inatakiwa ifanyike intelejinsia yenye akili kwani Erio hayupo kabisa katika movie waliohusika hamuwataji ...hebu acheni uzandiki wenu tuwe huru tusiwe watu wa kutumika na kutamka kauli nzito zisizo na chembe ya ukweli kwani unawezaje kusema...
  12. bahati1980

    Malalamiko kuhusu uongozi wa NSSF

    Mzee baba hivi uko timamu kweli mtu mwenye uweledi hata siku moja huwezi kumweka kwenye kundi la eti "anaishi kiujanja" hao wanaoishi kiujanja kiujanja kama ulivyosema ni wale wanaoitwa 'misheni town' yaaani unawezaje kumuweka kundi hilo Mzee baba...eti hajiamini hebu tutumie tu hata akili za...
  13. bahati1980

    Malalamiko kuhusu uongozi wa NSSF

    Eee bana see hili Taifa letu si la udini wala ukabila nyie ndio mnaokosa uzalendo na Taifa lenu yaaani badala ya kujadili mada zenye kuleta tija wewe unabwabwaja tuuu...eti kanisa ...eti misikiti kweli nimeamini tuna vilaza weeeengi sana Tusipotezeane muda aisee Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom