Habari wana jf, Mimi Nina ushauri tu kea anaetaka kujiunga na qnet ajipange. Wanakudanganya kuwa ukijiunga unatajirika kea muda mfupi lakini Mimi Nina ushahidi mtu wangu wa karibu alijiunga uko huu mwaka wa tatu hakuna Cha utajiri Wala nini ndo Kwanza anasotaa balaa maisha magumu, walimdanganya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.