Search results

  1. S

    Wafanyakazi wote nchi nzima tuungane na kufanya yafuatayo kuhusu vita ya kikokotoo

    Laana ya Laana ya Mungu iwapige watu kama hawa na kizazi chake chote. Wizi wa fedha za wastaafu ni watu kulewa madaraka waliyonayo kwa maana wao hakiwagusi. Kama hakina madhara kwa nini isiwe kwa watumishi wote?.
  2. S

    Haya ndiyo maandamano ya ovyo kuwahi kutokea katika nchi yetu. Hata wanaoandamana hawajui kwanini wanaandamana!

    Wahuni ni wengi mandamano hayakuhusu unaumia na nini?. Kula kuku kwa Mbowe hakuna tofauti na wanaotaka kununua ndege ya viongozi wakati maisha ni magumu sukari tu ni shida je, maji, umeme vipo kwa hawa wasiokula kuku?.
  3. S

    Makonda: Stendi mpya Iringa ipewe jina la Chongolo

    Nimeamini watanzania hatujitambui kabisa, hii ni aibu.
  4. S

    Abdulrahman Kinana: CHADEMA wamelipwa ruzuku kiasi cha Billion 2.7

    Ni bora zipigwe kimyakimya kuliko kupigwa kwa urafi na matangazo huku watu wakiwa gizani ni aibu. Je wanaokula kwa kupiga kelele wamelifanyia nini Taifa hili?.
  5. S

    Ni nchi gani Duniani ambayo spika wa bunge na Jaji Mkuu huambatana na Rais kila mahali?

    Na ndio maana kwa sasa makonda ni kimbilio la watu wenye shida mbalimbali hususani za kimahakama, viongozi wengi shauri ya umaskini wapo kupongeza tu badala ya kutimiza majukumu yao.
  6. S

    Hussein Bashe: Upungufu wa sukari nchini utaisha mwezi Machi

    Kwa nini mnakosa aibu?, kaeni kimya jamani mnakera sana
  7. S

    Majeshi yote yanatarajia kufanya Usafi tarehe 23/24 January 2024 siku iliyopangwa kwa maandamano

    Jeshi liheshimiwe mahali popote hiyo sio dharura ni dharau kwa jeshi letu.
  8. S

    Halima Mdee na wenzake Washinda kesi dhidi ya CHADEMA. Waendelea kuwa wanachama wa CHADEMA. Kuendelea na Ubunge wao

    Mbumbumbu hawatakwisha nchi hii. Uongo unasaidia nini?, shindwa na ulegee.
  9. S

    Ewe Mkristo, nani alikwambia kukusanyika kila Jumapili kwa ajili ya Ibada?

    Ni andiko lipi lilikataza kusanyiko au kusali jumapili?.
  10. S

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa: Makamu wa Rais, Philip Mpango yuko nje kwa majukumu

    Mara nyingi taarifa zake zinakuwa kinyume, muda utaongea.
  11. S

    Boniface Jacob: Polisi walioua Mlinzi wa Bar ya Boardroom Sinza wadaiwa kutumwa na RC Chalamila kukamata Wanaojiuza

    Hawa ndio wateuliwa wetu wamekosa hekima, hawajui kuwa aliyesema usizini ni huyohuyo alisema usiue, usiibe, usiseme uongo kwa hiyo dhambi siyo uzinifu tu acheni kuwadharirisha mama zetu. Kuna mapungufu mengi ya nchi yanayotakiwa kufanyiwa kazi.
  12. S

    Makonda yupo wapi?

    Hastarabiki, tatizo ni ushamba na kupenda sifa hekima ni sifuri.
  13. S

    Ukiona Wabunge wa CCM wanasisitiza Mafisadi wanyongwe hadharani kama China Ujue hali ni mbaya sana na Haivumiliki!

    Hizo ni kampeni tu wanafiki wakubwa hao, kwa ujinga wetu tunawashangilia, hawana lolote kama ni hali mbaya mbona wanapitisha mafao ya viongozi wenza ambao ni uhuni tu wa kuiba mali ya umma
  14. S

    Serikali Umivu ya Kishetani

    yana pepo la wizi hayana aibu.
  15. S

    Namshauri Dkt. Tulia amsamehe kiongozi mkubwa aliyetaka ashindwe Urais wa IPU

    Tutakuwa wanafiki hadi lini, huyu mwasisi wa tabia hii ya kusifu na kujipendekeza alaaniwe kabisa.
  16. S

    Msaidizi wa Lissu adaiwa kujeruhiwa na mapanga na watu wasiojulikana

    Usemi unatimia "kazi iendelee".
  17. S

    Mrisho Mpoto alaumiwa kwa kumkejeli Padri Kitima Ikulu

    Mara nyingi tawala zilizokosa hekima hufurahia upumbavu.
Back
Top Bottom