Wewe utakuwa una biashara ya gesti ,mbona gesti zisiwe nazo zinapata ajali kama moto nk ,tuache embu na magari yetu niache kugongea kwenye gari la milioni 20 nikapigie ktk gesti ya elfu 20000
Huyu jamaa kuna fursa anataka kuitumia kupitia kituo hicho ,kama una uwezo wa kuwasaidia bila kuwa na manufaa yako binafsi sidhani kama unashindwa kujua pakusaidia bila kuomba huku,wewe huna tofauti na wale "tuma kwa namba hii"
Tayari wameshamfix, nilisema huyu jamaa vipi serikali inamwangalia tu na uropokaji uliovuka mipaka?
Nilihisi amechanganyikiwa lakini baadae nikaona kuna watu walikuwa nyuma yake sasa wamemwingiza cha kike, pamoja na yote ila kale ka nyimbo cha nyani ukiwa na bia mbili tatu kichwani kanachezeka!
Wanafunzi 400 wamehitimu Chuo cha Uganga wa Kienyeji huko kahama. Chuo kinachoitwa Modesta, ambapo ndiyo chuo cha kwanza Tanzania kutoa tasnia hiyo.
Mahafali hayo yamehudhuriwa na zaidi ya watu 1000.
Huyo mtoto anatokea Tanga ni kama inaanza kuingia akilini,mbona awali walisema anasoma sinon na mwalimu aligundua baada ya kuona matendo yake na kumkuta na pampasi ,hivi vitoto yawezekana kametokea kwao na tabia yake hiyo kakaamua kumsingizia huyo jamaa,yaani mbususu zote za benk na wateja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.