Search results

  1. Sir Yahaya

    Naombeni msaada wana JF

    Ndugu wana JF naombeni mnisaidie soft copy ya vitabu vya Jizatiti katika Hisabati darasa la 7 na darasa la nne.
  2. Sir Yahaya

    Njia 16 za asili za kuondoa sumu mwilini

    Njia 16 za kuondoa sumu mbalimbali mwilini Mwili unaweza kupatwa na sumu au takataka zisizohitajika na mwili kwa namna mbili, ama kupitia mazingira tunayoishi (viwanda, migodi nk) au kupitia vyakula na vinywaji ambavyo tunatumia kila siku. Sumu au taka pia zinaweza kuingia mwilini kupitia dawa...
  3. Sir Yahaya

    Dalili 10 za mvurugiko wa homoni kwa wanawake

    Dalili 10 za mvurugiko wa homoni kwa wanawake UPUNGUFU WA HOMONI YA PROGESTERONE Hii ndio aina kubwa zaidi ya mvurugiko wa homoni inayowasibu wanawake wengi sana wa rika zote. Vyanzo mara nyingi huwa ni mfumo wa ulaji pamoja na matumizi ya njia mbalimbali za uzazi wa mpango. Dalili zake ni...
  4. Sir Yahaya

    Njia 5 za kuondokana na tatizo la miguu kuwaka moto

    Njia tano za asili za kuondokana na miguu kuwaka moto Huu ni ugonjwa unaowasumbua watu wengi sana na mara nyingi humfamnya mtu mwenye tatizo hilo kushindwa kusinzia japo anahisi kusinzia. Miguu kuwaka moto ni ugonjwa unaotokea ambapo katika mwili wa binadamu kutakuwa na matatizo kama...
Back
Top Bottom