Search results

  1. nexus white

    Je, ni upi ulazima wa viongozi kwenda airport kila mara Rais anapoondoka au kurudi nchini kwa njia ya anga?

    1111111111 1 111 1 11 1111 Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
  2. nexus white

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    MTEJA ATAJUAJE KAMA KUNA IDADI KADHAA YA WATU MBELE YAKE, NI JUKUMU LENU KUMPA TAARIFA YA MUDA WA KUMUUNGANISHIA HUDUMA
  3. nexus white

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    KAMA NI NJE YA MITA 30 KUTOKA KWENYE MIUNDOMBINU MNAFANYAJE??
  4. nexus white

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nasikitika hadi sasa Tanesco - mkoa wa Tabora hasa Tabora mjini bado mnafanya mambo ya urasimu, watu ni wengi sana waliiomba kupatiwa huduma ya umeme na shirika likatoa tathmini ikiwemo namba ya malipo (control number) watu wamelipa lakini kupatiwa huduma ya umeme inashindikana, visingizio vyenu...
  5. nexus white

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Habari... Hoja zangu ni mbili tu ambazo ziko mkoa wa tabora (Tabora mjini) 1. MUDA WA KUUNGANISHIWA UMEME BAADA YA MALIPO Hivi kwanini mtu analipia pesa kwa ajili ya kuunganishiwa huduma ya umeme lakini inachukua muda mrefu kuunganishiwa umeme? Haiwezekani, mnatoa quatation na control...
  6. nexus white

    WhatsApp imepata tatizo gani ?

    Mkuu imekaa sawa jaribu tena
  7. nexus white

    TCRA na POLISI msiposhughulikia matusi haya kwa Mbowe kamwe hatutakubali.

    Huyo hapo anafanana sauti na wema......kuna jingine????? Jiongeze mkuu
  8. nexus white

    Majambazi wawalaza mapema wakazi wa Tabora

    Ikifika saa moja usiku, unaona polisi wako busy sana na pikipiki zao maarufu kama PT lakini hatuoni matunda yao, naona wako busy sana kuhangaika na boda boda tu na kusahau wajibu wao nini
  9. nexus white

    TANESCO: Kupanda bei ya umeme hakutaathiri wateja wa kawaida

    Hii kauli haina tofauti na ile ya kupandisha tozo ya simu....
  10. nexus white

    Msanii Wema Sepetu akamatwa kwa kuihujumu TANESCO

    'Mama ongea na mwanao' aache kuiba umeme
  11. nexus white

    Msanii Wema Sepetu akamatwa kwa kuihujumu TANESCO

    'Mama ongea na mwanao' aache wizi wa umeme
  12. nexus white

    Wasanii walioshiriki Uchaguzi Mkuu waangaliwe kwa jicho lingine

    Salama? Ni wakati umefika sasa kwa chama tawala kuthamini na kujali jitihada za wasanii kwa kuweza kuwapa nafasi katika serikali na hata bungeni ili kuwawezesha wao kuweza kusimamia mambo yanayowahusu kwa ukaribu. Nakumbuka kipindi cha uchaguzi wasanii wa maigizo, wasanii wa muziki na hata...
  13. nexus white

    David Kafulila afungua kesi Mahakama kuu, kutetewa na Tundu Lissu

    Aliyekuwa Mbunge wa kigoma, Mh. David Kafulila, afungua kesi mahakamani mkoani Tabora kuhusu kupinga ubunge kwa mgombea wa CCM
  14. nexus white

    CHADEMA thibitisheni mgombea URAIS kushiriki MDAHALO

    Msihofu, tunataka midahalo ya wabunge kwanza, Midahalo ya urais iwe mwisho, mpo tayari?
  15. nexus white

    Lowassa aingiza Waisrael kutoa mafunzo ya Kijeshi, Apson Mwang'onda ndiye anadaiwa kuratibu

    Kwa habari hii nzito, nitashang'aa kama sheria hii (cyber crime) ikuache, na pia nitashang'aa iwapo serikali ikuache
  16. nexus white

    Mwigulu: Lowassa anajua atashindwa, ameanza kuandaa watu kisaikolojia

    Huyo nae anajibembelesha tu apate uongozi, hana lolote
  17. nexus white

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    yametokea na maisha lazima yaendelee, asante kwa kushiriki siasa na kuamua kupumzika, acha tuendelee na mapambano lakini samahani usisite kutuombea katika mchakato huu
  18. nexus white

    Kila la kheri Jeshi la Polisi

    Nimetoa rai kulingana na mazingira yalivyozoeleka
Back
Top Bottom