Search results

  1. N

    Nakulilia Mama Tanzania

    Nikiitazama Tanzania ya nusu karne ijayo napatwa na furaha kubwa moyoni! Naiona Tanzania yenye kila namna ya neema na mafanikio ambayo taifa lolote lenye maliasili lukuki inapaswa kuwa nayo. Naiona Tanzania iliyojaa raia wengi wa kigeni hasa kutoka mataifa mbalimbali ya bara la Afrika...
  2. N

    Radio Imani Morogoro mnakotupeleka hakufai. Mwisho wake mbaya sana!

    Hivi huwa hamujiulizi KWANINI ALLAH amewaruhusu hao mnaowaita MAKAFIRI waendelee kuishi hapa duniani? Kama angekuwa hawataki kama nyie msivyowataka si angeshawaulia mbali siku nyingi? Tumieni akili enyi kizazi cha ISHMAEL
  3. N

    Dr. Nchimbi: Kuuwawa kwa Padri huko Zanzibar si Ujambazi bali ni Ugaidi!

    Unahakika enzi ya mkoloni manyanyaso hayakuwepo? Ni manyanyaso gani unayozungumzia ilhali RAIS, MAKAMU WA RAIS, JAJI MKUU, MKUU WA USALAMA WA TAIFA, MKUU WA MAJESHI nk ni waislamu kama wewe? UJINGA ni kitu kibaya sana katika maisha.
  4. N

    Tafadharini iambieni serikali iwaachie uamsho,imwachie Ponda na Mukadam kwa salama ya nchi

    Hivi ni manyanyaso gani HASA ya waislamu yaliyofanywa na wakristo? Tanzania imetawaliwa na Ujerumani kisha Uingereza kwa zaidi ya miaka 100, kama tatizo ni mfumo kristo uliwekwa na PENGO au hawa wakoloni wa kikrsto? IKULU yenyewe imejengwa na hawahawa wakoloni wa kikrsto, kwanini basi Rais wenu...
  5. N

    Kardinali Pengo, Simama au na wewe staafu kama yamekuzidi...

    USIDHANI Kiongozi huyu mwenye hulka ya upole anafurahia haya au hakuna juhudi yoyote ile anayofanya eti kwa sababu tu hatoi matamko hadharani. Hata JK anajua wazi ya kuwa AMANI ya Taifa hili kwa sasa imeshikiliwa na maaskofu. Nadhani kiongozi huyu anachokionesha ni hali ya juu ya busara alizonazo.
  6. N

    Gas tena Tanzania

    Mungu bariki iwe Bara ili tuone hawa jamaa wa visiwani na mipango yao ya kukataa mafuta isiwe jambo la muungano
  7. N

    Tanzania loses battle over Serengeti road project

    Hivi kipi kinachoharibu ecosystem kati ya kelele za MIDEGE ya kiarabu walioruhusiwa kujenga viwanja vyao katikati ya mbuga au barabara. Binafsi siwatofautishi hawa wanaotetea wanyama na wale waliokuwa wakitushawishi tuupigie mlima kilimanjaro kura ya kuingia kwenye maajabu ya Dunia wakiwa...
  8. N

    Tanzania loses battle over Serengeti road project

    I think you are the one with low thinking capacity, Or may be you don't know there are PEOPLE dying there due to poor infrastructure facilities, Do you know how many lives of innocent sick people we would have saved by building that road? Do you know the high cost of living for people of...
  9. N

    Tanzania loses battle over Serengeti road project

    Mkubwa umenena. Inamaana vichwa makini vya aina ya T.Lisu vimeisha hapa nchini? hebu angalia sababu ya rufaa ambayo imekataliwa! nasikitika kuishi katika taifa ambalo wenye akili timamu wako nje ya mfumo ilihali mazezeta wameshikilia mfumo wa serikali na Taifa.
  10. N

    Lowassa hajaalikwa kwenye harambee yetu ~ Kanisa Katoliki

    Inamaana kwa vile ilijadiliwa jana haijadiliwi tena! Kumbe ni haki Tanzania iwe nchi ya TATU duniani kwa umasikini.
  11. N

    Uonavyo: Kati ya KWAME NKRUMAH na J K NYERERE. Yupi anastahili heshima ya kisiasa ki mataifa?

    Unadhani hiyo BIA imetengenezwa wapi? kwa nini isinywe ulanzi, Inaonyesha umeshakata tamaa na MIAFRIKA, mimi bado naamini iko siku tutazinduka.
  12. N

    Uonavyo: Kati ya KWAME NKRUMAH na J K NYERERE. Yupi anastahili heshima ya kisiasa ki mataifa?

    kama lengo lako ni kutaka IDADI utampata mshindi lakini anaweza asiwe mshindi sahihi, tunataka hoja za nani mkali na si TAKWIMU za nani mkali. Takwimu waachie ccm. Lakini pamoja na takwimu unazotaka bado NYERERE ni tishio! waulize askari wetu wanaolinda amani katika nchi za Afrika wakuambie...
  13. N

    Huu ni baadhi tu ya ufisadi mkubwa ndani ya CHADEMA; ni kuhusu mamilioni ya Sabodo

    Mh, kwa staili hii mwacheni Nyerere aitwe baba wa Taifa! Awali nilikuwa nasikia siasa ni gemu gumu nabisha lakini taratibu naanza kuamini. Hivi leo hii Dr Slaa kulipiwa nyumba ya 250,000 kwa mwezi ni skendo? Hivi kama "kakopa" fedha ndani ya chama badala ya benki ni hasara au faida kwa chama? Si...
Back
Top Bottom