Search results

  1. ushahd

    Masters degree university of Dar es salaam

    Salaam Wana jamvi, samahani Naomba kuuliza university of Dar es salaam wao hawana intake ya march kwa upande wa masters?
  2. ushahd

    Appeal za HESLB kwa waliokosa mkopo ipoje?

    Naona wametoka kwa wale diploma
  3. ushahd

    HESLB: Batch One Out Now

    Naona wametoa kwa Diploma
  4. ushahd

    Wanaotaka kuanza kusoma CPA, karibuni tushauriane

    Je kuhusu tution center fees yake kwa kila somo
  5. ushahd

    Wanaotaka kuanza kusoma CPA, karibuni tushauriane

    Hivi usajili na gharama zote za intermidiet level ni kiasi gan
  6. ushahd

    Naomba kufahamu vituo kama vitatu vya CPA kwa hapa Dar es Salaam

    Salaam wana jamvi, Samahani naomba kufahamu vituo kama vitatu vya CPA kwa hapa Dar es Salaam
  7. ushahd

    HESLB: Batch One Out Now

    Nachomuomba Mungu aniwezeshe ili watoto Mungu atakaonipa wasije wakapitia taabu hizi maana inasikitisha
  8. ushahd

    HESLB: Batch One Out Now

    Naomba contact nikutafute
  9. ushahd

    HESLB: Batch One Out Now

    Chukua ada ya chuo uipe asilimia 100%,then uconvert hiyo ada utajua asilimia ngapi umepewa
  10. ushahd

    HESLB: Batch One Out Now

    Ada umelipiwa sh ngap?
  11. ushahd

    HESLB: Batch One Out Now

    Hongera sana
  12. ushahd

    HESLB: Batch One Out Now

    Hongera hasubuhi ilikuwa inaleta ujumbe gani?
  13. ushahd

    HESLB: Batch One Out Now

    Nimewapigia board majibu waliyonipa yamenihudhunisha,nikasema moyoni wale unaosikia wamejinyonga si wa kuwalaumu bali kuna sababu hasa,Inasikitisha sana
  14. ushahd

    Naombeni updates za HESLB Batch 2023/2024

    Mtandao leo sio mzuri
  15. ushahd

    HESLB: Batch One Out Now

    Yaani acha tu ndugu yangu,tunaingia darasani lakn akili hazipo darasani maana hata usajili sijafanya sioni mwanga wa kutoka pasipo mkopo
  16. ushahd

    Hali si shwari Bodi ya Mikopo (HESLB)

    Mkuu wew umepata mda gani? na je ulikuwa umeshawekewa msg ya wait for final results?
  17. ushahd

    SECOND BATCH HESLB 27/10/2023

    Ni ya kweli au unatutia moyo mkuu
Back
Top Bottom