Search results

  1. R

    Chuo gani kinatoa online degree?

    Habari, msaada kwa yeyote anayefahamu chuo kinachotoa online degree.
  2. R

    Kijana mwenye uzoefu wa kuuza duka anatafuta kazi

    Habari Wana jf..kijana ana miaka 23 anatafuta kazi..ana uzoefu wa kuuza duka pia kufanya miamala ya simu Kama mpesa tigo pesa nk...pia ni fundi mzuri wa umeme amesoma VETA Ntashukuru Kama itapatikana
  3. R

    Anatafuta kazi

    Habari Wana jf..kijana wa kiume miaka 23 anatafuta kazi...ana uzoefu wa kuuza duka pia kufanya miamala Kama tigo pesa, mpesa nk ...pia ana ujuzi wa umeme no fundi mzuri tu.. Ntashukuru Sana Kama kazi itapatikana.
  4. R

    Kazi inatafutwa

    Habari Wana jamiii Nina ndugu yangu anatafuta kazi ana ujuzi wa umeme pia yupo kufanya kazi yoyote halali yupo dar..pia ana uzoefu wa kuuza duka. Nitashukuru Sana Mawasiliano 0674 968388... NB:nashindwa kujibu comments coz account yangu haijawa approved me ni new member.
  5. R

    Kazi ya nursing

    Habarini za jioni wapendwa Kuna mdogo wangu anatafuta Kaz ya nurse ...ana cheti Cha nursing daraja la pili pia ana leseni... Ntashukuru Sana...kwa mawasiliano 0674968388
Back
Top Bottom