Search results

  1. K

    Salim Mwalimu ni nani

    huyu ndiye aliezaa na mbunge wa Chadema ambae nae ni mke wa mtu na nimeamini hiki Chama Cha wahuni kuanzia Mwenyekiti wake Mbowe kazaa na Joyce Mukya na huyo salim Mwalimu kazaa na Esther Matiko ambae na yeye ni mke wa Mzee Matiko. Mpaka hapo matona ni jinsi gani Chama Cha Chadema kisivyo na adabu
  2. K

    Lowassa awaandalia dinner waandishi wa habari

    Baada ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kutangaza nia ya kugombea Urais, kasha kuungwa mkono wa Wabunge na wajumbe wengi wa Bunge maalum la Katiba, imezusha hofu kwa aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowasa, ambapo jana usiku aliwakaribisha waandishi wa habari nyumbani kwake kama njia ya kujuana na...
  3. K

    Pinda alikoroga, alinywe sasa

    Mtakuja na kila Maneno ya uzushi kimsingi Pinda kawabana pabaya.@ kambi ya luwasa hailali usiku kucha na bado matakwenda German sana tu
  4. K

    Pinda abadili upepo wa CCM urais 2015

    Mbona mnahaha sana na Pinda? Nyie kila mtu akitangaza nia ni adui yenu. Kweli siwaelewi kambi ya luwasa Ina mushkel kubwa.hawalali usiku kucha.
  5. K

    Ben Mkapa ampigia Pinda debe kiaina

    Mwanza. Rais mstaafu, Benjamini Mkapa amempigia debe Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kiana akisema ni kiongozi anayekubalika kwa wananchi, hivyo wananchi wamuunge mkono kwenye nafasi yake ya sasa. Pia, Mkapa amesema uadilifu wa Pinda ndiyo chanzo cha watu kumwamini na kumkubali kutokana na kazi...
  6. K

    Hatimaye Mzindakaya arejesha Nyumba za serikali alizokuwa akizimiliki

    Walter Mguluchuma Sumbawanga .- Rukwa yetu HATIMAYE wizara ya Ujenzi imeinyang'anya Kampuni ya Agriculture and Animal Food Industries Ltd (SAAFI) iliyomilikiwa na mwekezaji mzalendo,na mwanasiasa mkongwe , Dk Chrisant Mzindakaya nyumba 12 za umma Serikali ambazo alikuwaamezipanga...
  7. K

    Ukweli Kuhusu Edward Lowassa na Urais 2015

    Kambi yote ya Edward luwasa hakuna inachofikiria isipokuwa Kwamba luwasa akishinda na kuwa Raisi basi umasikini ndiyo by bye kwani nimeisoma kambi yote inawaza kuwa tukishinda tu basi tumeukata.lakini kubwa zaidi ni pale utakapo gundulika Kama huwaungi mkono basi utachukiwa na kambi nzima na...
  8. K

    Ukweli Kuhusu Edward Lowassa na Urais 2015

    Umesahau no.11 Ndiye alieuza shamba la malonje lililoko Mkoa wa Rukwa Kwa nabii Mwingira wa efata na Leo linamgogoro mkubwa sana Kwa alilazimisha yeye Kwa maamuzi magumu kuwa lazima auziwe
  9. K

    Magufuli: Maamuzi magumu yaweza kutolewa na vibaka, Kikwete hutoa maamuzi makini!

    Naomba usome ila ni ya ccm ya 2005 kwani nijuavyo Mimi haikua agenda ya luwasa ila ni ilani ya uchaguzi ya mwaka huo na alikabidhiwa jk pia baada ya jk kuwa rais aliwaita wakuu wa Wilaya wote Kule ngurudoto na kuwa maelekezo na kusisitiza kuwa lazima kila kata kuwe na secondar sasa napata taabu...
  10. K

    Yaliyojiri: Maadhimisho ya miaka 37 ya Chama Cha Mapinduzi - Mbeya!

    Mbeya haiko hivyo pic sijuwi umeitowa wapi kichaa ww!!
  11. K

    Lowassa aunguruma Bungeni: "Bora kufanya maamuzi na kulaumiwa, kuliko kutofanya!"

    Imefikia wakati watanzani tumekuwa vipofu kwa Rushwa na sasa tumeamua kuwa ukweli kuwa uongo na uongo kuwa kweli. Mimi binasfi sijaona maamuzi magumu aliyo fanya luwasa zaidi ya kutumia pesa zake kuiyumbisha Serekali iliyopo madarakani.mimi siamini hata kidogo eti LUWASA Leo ni mzuri kuliko...
  12. K

    Mwenyekiti wa CHADEMA wa mkoa wa Rukwa akamatwa kwa wizi wa mafuta

    Waondoe kwa kuficha maovu yenu?? Nyie si mmesema hakuna mwenyekiti chadema mkoa wa Rukwa??? Huyu mzee nkoswe ni tapeli aliye kubuhu na ni mwizi namba moja mkoan rukwa
  13. K

    Mwenyekiti wa CHADEMA wa mkoa wa Rukwa akamatwa kwa wizi wa mafuta

    Naomba jina la huyo anekaimu kwa sasa.tatizo mmezoea uongo mkiambiwa kweli mnaruka
  14. K

    Mwenyekiti wa CHADEMA wa mkoa wa Rukwa akamatwa kwa wizi wa mafuta

    ***** MWENYEKITI CHADEMA KITANZINI KWA WIZI WA MAFUTA YA WAKANDARASI WA BARABARA YA TUNDUMA -SUMBAWANGA ********* Wakati chama kikipita katika wakati mgumu wa ombwe la uongozi kuanzia ngazi ya taifa mpaka ngazi za kata,kiongozi aliyesimikwa uenyekiti na Mbowe ili kupanga safu yake ya...
  15. K

    Huyu ndio Lwaitama... Sijashangaa!

    naona mmesahu kwa mshumbusho na lwaitama na walewale wahayaa wa bukoba
  16. K

    Jioni hii: Bungeni wapinzani hawapo!

    Shibuda yupo Chama gani? Mbona nimemuona bungeni
  17. K

    Picha na mapokezi ya Yamsebo(CHADEMA)~Sumbawanga

    Aliposhinda mwanzo mahakama ilitenda haki Leo kashindwa mahakama ya rufaaa oh mahakama haijatenda haki. Lema alivyoshinda mkasema mahakama ya rufaa imetenda haki. Ruakatare kafutiwa mashtaka Jana mmeruka kwa shangwe. Ama kweli nyie ni mbululas
  18. K

    Picha na mapokezi ya Yamsebo(CHADEMA)~Sumbawanga

    Hao vijana wameshalipwa au bado ndilo swali la msingi kwa dhulma siyo nzuri na mbaya zaidi mmewaitia police.
  19. K

    Picha na mapokezi ya Yamsebo(CHADEMA)~Sumbawanga

    vipi kuhusu vijana wa bodaboda mmeshawalipa pesa zao? kwani wamekwenda kudai kwa mzee yamsebo akasema hana na fujo zikaanza mpaka police wamefika kutuliza fuzo ila mpaka mudaa huu vijana wapo hapo kwake wakisubiri malipo yao.
  20. K

    Hatima ya jimbo la Sumbawanga mjini mashakani

    Ptz Naona mtoa mada amejaa chuki na ndg Aeshi.hapo nijuwavyo mimi mahakama imempa haki kama wapeavyo wengine. Pili akishinda mtu wa chadema hapo haki ipo.akishinda wa ccm hapo rushwa sasa sijuwi haki ipo kwa chadema tu? Hebu kuweni wastarabu msiwe kama malimbukeni.
Back
Top Bottom