Search results

  1. Nandinii

    Naona wazazi wangu wamenichoka, ni muda sasa nami nianze kujitegemea

    [emoji16][emoji16][emoji16] hii sentence imenifanya nifurahi sana. Yani ulikuwa unashindia mkate halafu unarudi nyumbani usiku unakuta ugali wa mama unakula unapunguza njaa. Sasa huko unakokwenda ukishindia hivyo mkate, ukirudi usiku room uliyopanga nani atakufadhili hiyo usiku?. Hasira siku...
  2. Nandinii

    Mahusiano na wanaume watu wazima wenye watoto ni kazi sana

    [emoji16][emoji16] nao ni majipu wakiamua.
  3. Nandinii

    Mahusiano na wanaume watu wazima wenye watoto ni kazi sana

    Ni kweli ana shida pahali. Kuna siku alipiga simu nikiwa karibu na mtu, tangu amepiga mpaka dakika 20 inafika yeye ni kufoka foka tu. Yule mtu akasema huyu afai, muache mapema kabisa atakusumbua. Anaonekana ana shida pahali
  4. Nandinii

    Mahusiano na wanaume watu wazima wenye watoto ni kazi sana

    Yah ni kweli inaumiza sana. Nitajitahidi, nikishindwa nitamuacha tu.
  5. Nandinii

    Mahusiano na wanaume watu wazima wenye watoto ni kazi sana

    [emoji23][emoji23][emoji23] malast born hao
  6. Nandinii

    Mahusiano na wanaume watu wazima wenye watoto ni kazi sana

    Hilo naliongelea sana mkuu. Lakini mtu aliyeumia kisaikolojia mmmmh changamoto kubwa.
  7. Nandinii

    Mahusiano na wanaume watu wazima wenye watoto ni kazi sana

    Kudate na single father inahitaji moyo. Kutwa kulalamika tu. Sasa Bora awe single father kijana, kuliko single father mbaba, Kila muda anahisi una utoto tu, amri mbele.
  8. Nandinii

    Mahusiano na wanaume watu wazima wenye watoto ni kazi sana

    [emoji1][emoji1] mi nataka kijana
  9. Nandinii

    Mahusiano na wanaume watu wazima wenye watoto ni kazi sana

    [emoji16][emoji16] nimecheka. Anaweza kukuchapa kweli
  10. Nandinii

    Mahusiano na wanaume watu wazima wenye watoto ni kazi sana

    Ni mbaba kwa sababu ana watoto tayari
  11. Nandinii

    Mahusiano na wanaume watu wazima wenye watoto ni kazi sana

    Tatizo ni kwamba mwanamke alokuwa anaishi nae sogea tuishi na wakazaa wametengana baada ya yeye kufirisika. Kwa hiyo muda mw gi anaongea haamini wanawake, na muda mwingi ni gubu tu eti akiwaza pesa. Kuna siku nilimsema sana, nikwambia ukiwa na stress zako ziishie huko huko ama la Mimi na wewe...
  12. Nandinii

    Mahusiano na wanaume watu wazima wenye watoto ni kazi sana

    [emoji16][emoji16] alooo Kuna wakaka wanajielewa acha kabisa.
  13. Nandinii

    Mahusiano na wanaume watu wazima wenye watoto ni kazi sana

    Tatizo ana gubu na makasiriko. Muda wote ni kufoka foka tu na amri. Kwanza amani hana anahisi anachitiwa muda wote.
  14. Nandinii

    Mahusiano na wanaume watu wazima wenye watoto ni kazi sana

    [emoji16][emoji16] msaada wote naupata hapa hapa. Nimepokea maushauri nayafanyia kazi.
  15. Nandinii

    Mahusiano na wanaume watu wazima wenye watoto ni kazi sana

    Asante dada nimekuelewa[emoji7]
  16. Nandinii

    Mahusiano na wanaume watu wazima wenye watoto ni kazi sana

    [emoji16][emoji16] ndo hivyo tena
  17. Nandinii

    Mahusiano na wanaume watu wazima wenye watoto ni kazi sana

    [emoji1][emoji1][emoji1] acha na mie ncheke tu.
Back
Top Bottom