Search results

  1. Bronty

    Ndoa bila Tendo......Msaada

    Naijeria labda
  2. Bronty

    Ndoa bila Tendo......Msaada

    Hii kila nikiisoma nairudiarudia, Mungu niepushie hii,navyopenda sex looooo
  3. Bronty

    Kuna wanawake wanaowafungashia waume zao na kuwapeleka kwenye nyumba ndogo…!

    Kuna wanaume pia wana gubu sana, ila kwa kuwa unampenda unamchukulia tu,kwa hiyo na wao watuvumilie kama na sie tunavyojitoa kwao
  4. Bronty

    Ndoa bila Tendo......Msaada

    daaaah mie sina la kusema,mpe pole sana,tendo la ndoa,ndio furaha ya ndoa asikwambie mtu
  5. Bronty

    Whats your talent...???

    I can sing kwa kweli, najua na kila mtu akinisikia naimba huwa wananiambia kwa nn sitaki kuwa muimbaji,hata kanisani?
  6. Bronty

    Hivi kama JF ingekuwa ndo Serikali nani angekuwa Prezda, vice prezda,prime Minister, spika?

    Approved babu mmemnyima wizara? au ndio Gavana??
  7. Bronty

    Nisaidieni jamani hii nyumba ndogo siielewi.

    Wanaume fungueni macho yenu, hasa mliooa, msichana hawezi kuwa na wewe peke yako never, na yeye anaota pia kuwa na mwanaume wake wa maisha afunge ndoa azae na watoto, hawezi kukaa na wewe bila kuwa na mahusiano mengine, naongea kwa uzoefu
  8. Bronty

    Hivi wadada mko je jamani? Mwanitisha.....!!

    aache presha ni kawaida tu
  9. Bronty

    My fairy tale story

    tunapima jamani
  10. Bronty

    My fairy tale story

    kweli ahsante, na kila shetani na mbuyu wake
  11. Bronty

    My fairy tale story

    jamani bosi niombee mema lol
  12. Bronty

    My fairy tale story

    kama ni huyo umeandikiwa mtakutana tu, maadam mkumbukane tu
  13. Bronty

    My fairy tale story

    Ndio ndugu yangu kingereza chaitaji wito mwenzangu ahsante
  14. Bronty

    My fairy tale story

    thanks so much dear napenda pale "and the answer are all up to me "
  15. Bronty

    My fairy tale story

    ahsante sana kwa ushauri mzuri dada angu, niliyafikiria yote hyo pia, naomba na Mungu awe upande wangu tu, maana im very much in love, sina la ziada nishasema yes i will
  16. Bronty

    My fairy tale story

    akirudi tutapima ila pale mwanzo ilikuwa ilivokuwa tu but niko fiti mm nimepima
  17. Bronty

    My fairy tale story

    BAK naomba niwekee one moment in time wa whitney houston
  18. Bronty

    My fairy tale story

    ili uhuzunike lazima ufurahi kwanza kwa hiyo ni maisha tu, sio kwamba hatujapitia huko au haitakuja kuwa lakini kwa sasa acha nifurahi
  19. Bronty

    My fairy tale story

    unajua nini, tujifunze kusema pia tunapopata good moment sio kulalama tu, wakati wa kulalama ukifika unalalama, wa furaha just share na watu pia thanks mzab
  20. Bronty

    My fairy tale story

    hahahahah thanks BAK im telling you this is not getho love, its real muda wote yuko away, hakuna siku hajacommunicate, na a lote of romantic staff aishhh ahsante yesu
Back
Top Bottom