Search results

  1. Waziri wa madini

    Ni wakati wa maombi kwa taifa dhidi ya watesi wetu.

    Cheka tu Sasa Ila utalia sanaaaa
  2. Waziri wa madini

    Ni wakati wa maombi kwa taifa dhidi ya watesi wetu.

    Kama sio mbaya basi tuone wema wake
  3. Waziri wa madini

    Ni wakati wa maombi kwa taifa dhidi ya watesi wetu.

    Tunalia Kama wananchi kwa kipindi kigumu tunachopitia hatuna nguvu hayupo wakutusemea ,maisha magumu shida zimezidi ,viongozi wetu wanasikia Ila wameweka pamba masikio viburi vimewajaa hawana huruma kwa wananchi wao ,wamekuwa na roho mbaya iliyopitiliza ,wamekuwa waongo na hawana haya ...
  4. Waziri wa madini

    Wapo wapi watetezi wa Watanzania, wamesusa au wanalamba asali?

    Anajikosha tu hakuna Cha maana
  5. Waziri wa madini

    Wapo wapi watetezi wa Watanzania, wamesusa au wanalamba asali?

    Mbona hufanyi press conference ukasema ukweli shida nini nyinyi ndio watu tunaowategemea umesahau kipindi Cha magu hadi ukaitwa bungeni na ndugai Yale makali yapo wapi ? Bwana pasco
  6. Waziri wa madini

    Wapo wapi watetezi wa Watanzania, wamesusa au wanalamba asali?

    Tulipaza sauti ndio akaachiwa umesahau kuweni na shukran nyinyi m bw a wa ufipa
  7. Waziri wa madini

    Wapo wapi watetezi wa Watanzania, wamesusa au wanalamba asali?

    Hata kusema hapa pia nimejitoa
  8. Waziri wa madini

    Wapo wapi watetezi wa Watanzania, wamesusa au wanalamba asali?

    Tumechaguliwa na ccm sio wote tumewachagua
  9. Waziri wa madini

    Wapo wapi watetezi wa Watanzania, wamesusa au wanalamba asali?

    Hadi wewe unaramba asali mkuu Taifa linakutegemea
  10. Waziri wa madini

    Wapo wapi watetezi wa Watanzania, wamesusa au wanalamba asali?

    Tunahitaji watu imara watakao amsha fikra ya watu na kusema ukweli
Back
Top Bottom