Hii siyo mahakama serikali kazi yake nini? Tuhuma za huyu mtendaji ziko wazi sana na Mkurugenzi anazijua. Kuna kipindi hata Afisa utumishi walikuwa hawaelewni. Nimetoa mfano mwaka jana fedha za uchaguzi alidai zimeibiwa katika mazingira ya kutatanisha, na akatengeneza mazingira ya kuwa ofisi...
Aliekwambia hayo kakudanganya huyu mtendaji ni hatari Kwenye masuala ya hela.
Uliza mwaka jana aliwapiga wenzake mpaka hela ya uchaguzi na akatengeneza mazingira ya kwamba ofisi ilivunjwa.
Huyu Afisa Mtendaji wetu wa kwakilosa anazo tuhuma nyingi sana za kuonea wananchi Lakini analindwa na wakubwa. Kila Mtendaji wa mtaa anaeletwa hapa lazima ukubali kuburuzwa, ukipingana nae tu lazima uchukuliwe hatua. Yaani huyu mtendaji ni tatizo kubwa wananchi tumeomba tuondolewe Lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.