Search results

  1. MalcolM XII

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

  2. MalcolM XII

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Matarajio ya wapinzani wetu kwa sasa yamebaki kwa City, ambao wanategemea watashinda mechi zote huku sisi tukiambiwa tumebakiza mechi ngumu. Wengine wanaumia kwa kutokubali kama tupo kwenye ubora kuliko timu zao na ikatokea tukashinda ligi msimu huu basi wanajua hawatopumua, na watakosa hoja...
  3. MalcolM XII

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hatimae mmefikisha GD +1 😂
  4. MalcolM XII

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Huyu Ten Hag ni Benchika mtupu! 😂
  5. MalcolM XII

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Unajiuliza MOTM apewe nani kati ya Rice au Ødegaard mpaka unaumiza kichwa. Aisee leo apewe Ødegaard tu.
  6. MalcolM XII

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Basi atatolewa Partey halafu Kai atamaliza dk 90
  7. MalcolM XII

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kocha wenu siku hizi anakula vizibao kama dalali wa mtaa
  8. MalcolM XII

    Washikilie wanaokujali

    Baba yangu mdogo popote ulipo, nipo nawe bega kwa bega. Kaka yangu wa pekee popote ulipo, bado nipo nawe bega kwa bega. Natambua mchango na mshikamano wenu mkubwa mlionipa wakati napitia kipindi kigumu, wakati ambao ndugu wengine hawakuwepo wala kutaka kusikia na baadhi walijifanya ku-support tu...
  9. MalcolM XII

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    GD is what matters
  10. MalcolM XII

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mjiandae kwa vilio tena humu ndani
  11. MalcolM XII

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hapo unajisahaulisha kama Gabriel Jesus alikua ndio namba 9 yetu kabla ya kuumia na option ndio ikawa Kai acheze pale. Kwa hayo magoli/assist Kai amefaidika zaidi kwenye ushindi wa 0-6, 5-0, 4-1, 0-3 ambazo hizo mechi zote kama angekuwepo Jesus angeshinda pia and maybe more.
  12. MalcolM XII

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Huna hoja mjomba
  13. MalcolM XII

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Ukifundisha wewe inatosha
  14. MalcolM XII

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Wewe aliekwambia Arteta anauchungu wa timu kuliko mashabiki ni nani? Kwahiyo Arteta kipindi anacheza mpira Everton alikua ana uchungu na Arsenal si ndio maana yake!?
  15. MalcolM XII

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hauna fact mjomba, pengine una njaa. Kunywa chai kwanza.
  16. MalcolM XII

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Huhitaji hata kuwa mazoezini kujua Jesus yuko kwenye fomu bora kuliko Kai Havertz.
  17. MalcolM XII

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hizo goli 13 umemsaidia wewe kufunga?
  18. MalcolM XII

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kai Havertz kwangu afunge magoli muhimu au asifunge still sio mchezaji wa kuanza mbele ya Gabriel Jesus. No fuckin way! And so sad Arteta halioni hilo kwa kuwa he's so dumb and deaf, hataki kusikia chochote kuhusu Kai, kaweza kum sacrifice Martinelli kwa kumtoa mapema ila sio Kai. Alikuwa na...
Back
Top Bottom